Ni kitu gani kakifanya Bambo kiasi cha kutrend ghafla na kuurudisha umaarufu wake uliopotea kwa muda mrefu

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768


Tangu mwezi uliopita Bambo amekuwa akitrend sana mitandaoni, ni kitu gani kimemrudisha kwa kasi ya 5g?

Naona pia watoto wa 2000 wamevutiwa sana na style yake iliyowahi kumpa umaarufu ya kuchanganya herufi kwenye maneno
 
Internet social media itawarudisha wakali wengi... zamani ilikuwa mpaka uwapigie magoti vituo vya tv na radio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…