Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hawana muendelezo wa uchekeshaji nadhani inategemea na, (audience) walengwa hata mimi hawezi nichekeshaHawa comedian wa bongo kiukweli wengi sijawahi chekeshwa nao kabisa. Kama huyu.. hivi unachekeshwa kabisa na bambo na kingwendu sijui...
Au nina stress sana labda?