Ni kitu gani kakifanya Bambo kiasi cha kutrend ghafla na kuurudisha umaarufu wake uliopotea kwa muda mrefu

Ni kitu gani kakifanya Bambo kiasi cha kutrend ghafla na kuurudisha umaarufu wake uliopotea kwa muda mrefu

View attachment 3018017

Tangu mwezi uliopita Bambo amekuwa akitrend sana mitandaoni, ni kitu gani kimemrudisha kwa kasi ya 5g ?

Naona pia watoto wa 2000 wamevutiwa sana na style yake iliyowahi kumpa umaarufu ya kuchanganya herufi kwenye maneno
Hakuna lolote la maana alilolifanya , ni watu tu wa insta waliamua kumtrendisha upepo ukakubali
 
Back
Top Bottom