Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Alafu kwa mawazo haya utegemee CCM itoke madarakani kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gud sanaSwali la kipuuzi..
Jaribu kumuuliza dada yako!
Testosterone hormone ndo huwa inatutofautisha yaani wakati binadamu akiwa embryo huwa kuna mfanano lakni kinachokuja kuleta tofauti ni uwepo wa testosterone ambayo huwa inahusika na kutengeneza viungo mbalimbali vya wanaume hasa mfumo wa uzazi, wanawake huwa hawana hii hormone.Swali limejieleza hapo juu! Katika tittle..
×××
Mimi mpaka leo sijui kwanini wanaume wana matiti
Kwa dunia ya sasa, jinsia sio kigezomwanaume na mwanamke utofauti wa msingi upo kwenye jinsia, hata hivyo bado tunafanana kwa vitu vingi kama macho, mikono , miguu, kifua n.k tunafanana kwasababu sisi sote ni binadamu sawa ila jinsia tofauti, kwahiyo hoja ya manyonyo ni negative sana kwanini hujaulizia macho, pua, masikio n.k kwa kifupi binadamu tuna tofautiana kwa jinsia tu na huu ndio utofauti wetu.
UchiSwali limejieleza hapo juu! Katika tittle..
×××
Mimi mpaka leo sijui kwanini wanaume wana matiti
matiti ya wanaume ni kichekesho, hayakui kama ya wanawake, ukibalehe kuna vigololi huwa vigumu na muda kubalehe ukipita hupotea ila hogo ndio hukua japo wapo wenye mihogo mikubwa na vibamia the same as wanawake wenye matiti makubwa na wengine wana madogo waweza sema mtindiga na saa sita usisahau pia kuna malapa na nidoSwali limejieleza hapo juu! Katika tittle..
×××
Mimi mpaka leo sijui kwanini wanaume wana matiti
Manina😂😂😂Unaandika na kujibu mwenyewe. Una changamoto ya afya ya akili.
ni fasheni mpyaMpaka leo sijui kwa nini wana wake wanavaa suruali?
😂😆matiti ya wanaume ni kichekesho, hayakui kama ya wanawake, ukibalehe kuna vigololi huwa vigumu na muda kubalehe ukipita hupotea ila hogo ndio hukua japo wapo wenye mihogo mikubwa na vibamia the same as wanawake wenye matiti makubwa na wengine wana madogo waweza sema mtindiga na saa sita usisahau pia kuna malapa na nido
wanavaa suruali kuonesha huko nyuma kulivyotuna, inye ngwendengwede, mgongo bambataa, taarabu imoMpaka leo sijui kwa nini wana wake wanavaa suruali?
sasa kama hana dada akamuulize nani?Swali la kipuuzi..
Jaribu kumuuliza dada yako!
si ukae kimya, pita kimyakimya usikomentiSijaelewa swali acha nikae kimya
kwasasa, hizi ndo nyuzi zinazopendwa na mods
unaangalia nini ili ujue kuna tofauti?Sio binadamu tu, hata wanyama wengine wapo wa kike na kiume....
Kwa umri wako na elimu yako nina uhakika mpaka leo hujui kutofautisha ndama jike na ndama dume
A male is musculine kabla ya kwenda kuonda private parts.Swali limejieleza hapo juu! Katika tittle..
×××
Mimi mpaka leo sijui kwanini wanaume wana matiti