Ni kitu gani katika mwili wa binadam kinatofautisha kwamba huyu ni mwana mume au mwana mke

Ni kitu gani katika mwili wa binadam kinatofautisha kwamba huyu ni mwana mume au mwana mke

Swali limejieleza hapo juu! Katika tittle..
×××
Mimi mpaka leo sijui kwanini wanaume wana matiti
Testosterone hormone ndo huwa inatutofautisha yaani wakati binadamu akiwa embryo huwa kuna mfanano lakni kinachokuja kuleta tofauti ni uwepo wa testosterone ambayo huwa inahusika na kutengeneza viungo mbalimbali vya wanaume hasa mfumo wa uzazi, wanawake huwa hawana hii hormone.
Lakini mfumo wa hormone huwa unamakosa japo ni nadra hasa Yale ambayo yanatokana na hormone fulani kuwa nyingi au ndogo ndio maana kuna sifa zimezoeleka kwny jinsia fulani lakini unaweza kuziona kwenye jinsia nyingine kama wanaume kuwa na maziwa au wanawake kuwa na ndevu
 
Nikiandika ni **** na mboro nitakuwa nimekosa heshima na adabu wakati ni kweli? Au niandike ni uke na uume? Tafsida au lahaja nitumie?
 
mwanaume na mwanamke utofauti wa msingi upo kwenye jinsia, hata hivyo bado tunafanana kwa vitu vingi kama macho, mikono , miguu, kifua n.k tunafanana kwasababu sisi sote ni binadamu sawa ila jinsia tofauti, kwahiyo hoja ya manyonyo ni negative sana kwanini hujaulizia macho, pua, masikio n.k kwa kifupi binadamu tuna tofautiana kwa jinsia tu na huu ndio utofauti wetu.
Kwa dunia ya sasa, jinsia sio kigezo
 
Angalia kwa makini picha hiyo hapo.
 
Attachments

  • Screenshot_20241130-091519~2.png
    Screenshot_20241130-091519~2.png
    528.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241130-092343.png
    Screenshot_20241130-092343.png
    134.5 KB · Views: 3
Swali limejieleza hapo juu! Katika tittle..
×××
Mimi mpaka leo sijui kwanini wanaume wana matiti
matiti ya wanaume ni kichekesho, hayakui kama ya wanawake, ukibalehe kuna vigololi huwa vigumu na muda kubalehe ukipita hupotea ila hogo ndio hukua japo wapo wenye mihogo mikubwa na vibamia the same as wanawake wenye matiti makubwa na wengine wana madogo waweza sema mtindiga na saa sita usisahau pia kuna malapa na nido
 
Mtoto akizaliwa tu watu hukimbilia kutaza kule kati kujua ni mwanamke au ni mwanaume, huko ni kuchunguliana sehemu za siri bila aibu
 
matiti ya wanaume ni kichekesho, hayakui kama ya wanawake, ukibalehe kuna vigololi huwa vigumu na muda kubalehe ukipita hupotea ila hogo ndio hukua japo wapo wenye mihogo mikubwa na vibamia the same as wanawake wenye matiti makubwa na wengine wana madogo waweza sema mtindiga na saa sita usisahau pia kuna malapa na nido
😂😆
Umeichambua vyema ndugu mchambuzi
 
Sio binadamu tu, hata wanyama wengine wapo wa kike na kiume....

Kwa umri wako na elimu yako nina uhakika mpaka leo hujui kutofautisha ndama jike na ndama dume
unaangalia nini ili ujue kuna tofauti?
 
Back
Top Bottom