Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

Dasizo

Senior Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
173
Reaction score
413
Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Mama aliposema kuwa kila mtu atumie kijambio chake atakavyo, ila tu tusimuharibie wanae

Wale wazee wenzangu wa hii nchi ina wazee wenyewe mko wapi?
 
Leo naomba tutoe shuhuda ni mambo gani tuliyokutana nayo yakafanya kuamini uchawi upo na una nguvu?
 
Live kabsa nilimuona mbibi akipaa na ungo, mchana kweupee

Kama anayekumbuka hili tukio atatoa ushuhuda naofia kutaja maeneo ila huyo mbibi alikuwa anatokea mwananyamala na ungo wake huku watu wakiwa wanamfatilia maana kama alikanyaga mtego na ungo ulikuwa hauendi kwa kasi, nahofia kutaja alipokuwa anaelekea kwa privacy yangu Kama Mwana JF

Kama hilo lilishindwa kunithibitishia kuwa uchawi upo lingine niliumwa ugonjwa wa ajabu sanaa hospital nilienda mpaka kumuona doctor special lakini sikupata nafuu wala kupona atimaye nilienda kuponea kwa sheikh kwa tiba ndogo sanaa-Mungu ni mwema nyakati zote
 
Daah! Uchawi upo kudadeki ilikuwa mwaka 2006 Niko zangu form II Shule moja huko wilaya ya Rungwe kipindi hicho, ilikuwa hivi ikiwa karibia tunaenda kufanya pepa ya mwisho nilikuwa na kaa na bro mmoja hivi ni best yangu kinyama yaani af tunapiga class moja si unajua zamani watu walikuwa wanasoma na umri mkubwaโ€ฆ

Lie usiku najiandaa kutoka niende nikasome class kudadeki zao wachawi mbwa wale nimefika class nikafunua daftari nianze kusoma nakumbuka ilikuwa ni history tena sehemu ya zulu โ€ฆcha kushangaza nikishindwa kusoma ndani ya lisaa hivi kila nikisoma sioni kitu naona karatasi jeupeeee tu ata nikifumbua wapiโ€ฆ. Nikajisemea ngoja nikadoz kidogo napo wapi basi nkahailisha kusoma ile narud dormitory nkalale ilipata saa moja hivi, nilichokuja kuona usiku wa manane ety jamaa yangu yule best yangu ety ananiloga nisifaulu hizo ni ndotoni kwakweli dah mwisho wa siku mie nyanya yangu kipindi hicho alikuwa hai nikaenda kwake akanitaftia majani flani hivi nikanywa na kupakwa usoni ndo kuanza kuona maandishi kudadeki siji sahauโ€ฆโ€ฆ mbeya ni nyoko
 
Mwakaleli, lufilyo, Rungwe wap hyo mkuu
 
Kuna jamaa anasema wewe mzito sana nishakuroga lakini hurogeki mbuzi wewee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Live kabsa nilimuona mbibi akipaa na ungo, mchana kweupee

Kama anayekumbuka hili tukio atatoa ushuhuda naofia kutaja maeneo ila huyo mbibi alikuwa anatokea mwananyamala na ungo wake huku watu wakiwa wanamfatilia maana kama alikanyaga mtego na ungo ulikuwa hauendi kwa kasi, nahofia kutaja alipokuwa anaelekea kwa privacy yangu Kama Mwana JF

Kama hilo lilishindwa kunithibitishia kuwa uchawi upo lingine niliumwa ugonjwa wa ajabu sanaa hospital nilienda mpaka kumuona doctor special lakini sikupata nafuu wala kupona atimaye nilienda kuponea kwa sheikh kwa tiba ndogo sanaa-Mungu ni mwema nyakati zote
Nalikumbuka hili tukio, alidondokea makaburi ya Ndugumbi
 
Back
Top Bottom