Ni kitu gani kilikufanya ukavutiwa na JF?

Mshana Jr, ana hisa JF? Ni mtu maarufu sana humu
Hisa JF hapana labda useme ni muhimu na maarufu
maana asipoonekana kutwa licha ya wiki naona sio JF tena
umuhimu wake hata mm nauthamini na alipopewa uPLATINUM Member sikushangaa
ni cheo cha juu kabisa sijui km kuna cheo cha juu zaidi Diamond
mwingine mwenye Cheo hicho ni Nyani Ngabu nk hao ni Muhimu hata Mada zao
 
Chief -mkwawa.
Ni mtu aliyefanya mpka nikajiunga jf .Kuna kipindi nilikuwa nahitaji laptop inayoweza kucheza game nyingi ile pita pita mitandaoni nikamcheki jamaa na mada yake moja hiv(nimeisahau kidogo)ile nataka kumuulizia kitu, jf wakaniomba ni jiunge ili nitume msg na ndo ikawa mwanzo.
Salut chief mkwawa[emoji817]%
 
Hicho cheo alichopewa analipwa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]na alikuwa hajui kama chanzo ni yeye
 
Hicho cheo alichopewa analipwa?
naona hakuna lolote ni Heshima (lkn siri ya Mtungi muulize Mshana Jr mwenyewe mm si msemaji)
zamani JF iliomba <e,ner wachangie na ukichnga kiwango walichokipanga unapewa Beji, na Beji ya Mchango wa kiwango cha juu ni PLATINUM)
Wanasheria, wanasiasa, Viongozi wa juu walikuwepo
Naona mtindo huo hakuendelea tena
ma wengi tuliokuwa tunachungulia ilibidi sasa kujiunga rasmi kwa ID hizi
 
Ukipewa beji, unakuwa na mamlaka yoyote humu JF?
 
Hahaha... ''Umewahi kula tunda kimasihara??''
 
Google kukasa mastori ndio ilukuwa mara ya kwanza kuijua ila kiundani zaidi ni kupitia freebasic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…