Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Nimewahi muacha demu wangu nilimpenda sana kisa utoto wake. Alimwambia dada yake aniambie Mimi sio shemeji yake bali ana shemeji mwingine anayejulikana sio Mimi nia anirushe roho. Kumbe kalikuwa kanatikisa kiberiti. Nilivyoambiwa tu hayo maneno na dada yake nilifunga vioo malizima japo alilia na kuniomba msamaha sana yeye pamoja na dada mtu, sikuweza badili msimamo wangu. Nilimove on nikaoa saivi Nina familia yenye amani, yeye aliolewa akaachika saivi anapuyanga na maisha tu
Daa kidogo unataka kufanana na huyu wangu Ana utoto kama huu mbaya hata ukionesha unachukia utoto wake haelewi.

Utoto mara aseme ana mume, mara nikimwambia lini nilete barua aseme nishatolewa barua....Yote sio serious utoto tatizo nikimuonesha sipendi hayo mambo anakaza kichwa tushawai mpaka kiachana kisa hili ila haelewi.

Mara ya kwanza nilikuwa nina nia nae nikamilishe mambo yangu nione maaan mtulivu, sio ombaomba ila utoto amekua kichwa ngumu now nimemuweka tu kama STEPPING STONE naendeleanae kama kawa ila atasikia siku tu na saa yoyote naoa zangu mwengine aliye serious zaidi umri wangu umri wangu siwendi ku handle drama tena.
 
Mimi, nimeshadharaulika. Nimeshachambwa, nimeshadhalilika, nimeshahudumia sana, amenifanyia mabay yote, lakini sikumuacha, niligundua makuzi aliyokulia yalimfanya asiamini kuna upendo wa kweli, nikapambana akae sawa na kweli, alikaa sawa, nipo nae hadi muda huu...na hakika.mimi ni shujaa nina uwezo wakumbadilisha yeyote na akakaa sawa kabisa
 
Duuh kumbe huyu nisimuache japo ni chuma ulete kwa kiasi chake ila anajari matatizo yangu na hivyo viburi vya kuzira hana maana mm dakika mbili mbele nshafura hasira.
Alishajaribu hizo tuachane akaambulia patupu maana nilimuachana kweli.

Hawa viumbe sometimes hawapendi kheri bali shari sijui kwanini, mpaka leo nashindwa kuelewa hili.
Huyu wangu ukileta kheri yeye atafanya juu chini alete shari, basi nshazoea na mimi sometimes naanzisha zogo zogo kweli hadi machozi yamtoke.
Duuu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mimi, nimeshadharaulika. Nimeshachambwa, nimeshadhalilika, nimeshahudumia sana, amenifanyia mabay yote, lakini sikumuacha, niligundua makuzi aliyokulia yalimfanya asiamini kuna upendo wa kweli, nikapambana akae sawa na kweli, alikaa sawa, nipo nae hadi muda huu...na hakika.mimi ni shujaa nina uwezo wakumbadilisha yeyote na akakaa sawa kabisa
Muda ni rafiki mwema kaka
 
Back
Top Bottom