Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

ila

😂😂😂ujasiri wa kukopa OYA mnautoa wapi wale hivi wanalalaga maana hata alfajiri unakutana na vigari vyao mtaani😂😂
Wanakuja hata saa 8 usiku hakuna kulala...
Tunaupata maisha haya yametufanya tuwe kama matapeli
 
Alikuwa na ndoto za kuwa mwanamuziki😁, alikuwa akiimba nyimbo zake lakin sikuwai msifia,, nilikuwa namkosoa mno🙉 kuwa hajui lolote nikiamin ataniponyoka nisile mbuthuthu,, ila alikomaa na ndoto hatimaye Sasa ni mwanamuziki,, 😁😁😁

Ikitoka nyimbo mpya anataka niipost,, miye moyo mzito kishenzi,,
 
nilikua nakaa mkoa tofauti nauli najichanga mwenyewe, mkikutana hela yangu ndio inunue chakula kulipia lodge na bado naondoka na nyege zangu najiuliza had leo sjui ilikuaje bado sikh zingine umuanze wewe kwa kumtext siku nikakaa kikao na nafsi yangu na kuanza kujisimanga yani kweli mimi leo hii ndio naspend hela yangu na mwanaume hana impact yoyote kwangu? hajui kujiongeza nikajisemea hapana natakiwa kutoka kwa nguvu zote kwenye hayo mahusiano na yule boya! had leo nikikumbuka najicheka
 
Sasa hivi jimbo lina mtu?
 
Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika (nadhani katika purukushani ya kuvibeba). Kati ya vitu walivyoiba, kulikuwa na vitu ambavyo ndio nilikuwa navitumia kwenye biashara zangu za wakati huo. Kiufupi wakawa wamenirudisha nyuma sana.

Nilimpa taarifa aliyekuwa mpenzi wangu, kwavile hakuwa anaishi mbali na pale, akaja hadi eneo la tukio. Akanipa pole, tukaenda wote polisi kureport tukio. Wakati ananiaga arudi kwao, akaniambia anashida ya kiasi fulani cha hela maana Mzee wake anaumwa. Sikuwa vizuri kifedha muda ule maana ndio nimetoka safari, alaf pia biashara ndio kama hivyo nishapigwa tukio. Hivyo nikamwambia kiasi alichoomba kwa muda ule sina, ila avumilie kama siku mbili hivi nione naweza kumsaidia kiasi gani.

Hapo ikawa ugomvi, akalalamika kwamba sijali matatizo yake, siyatimizi kwa wakati, siwapi uzito ndugu zake nk. Akaondoka kwa hasira, hata nauli niliyotaka kumpa akaikataa.

Alinighost for two days, hapokei simu wala kujibu msg zangu

Pale ndio nikapata red flag, kwamba "She doesn't take no for an answer". Jambo ambalo in long run lazima lingetugombanisha tena mara kwa mara. Maana hiyo ilikuwa ni kama mara ya tatu hali hiyo inajitokeza.

From there nikaona tunapotezeana muda, nikamuacha mpaka hasira zake zilivyoisha. Siku aliyoamua kunitafuta, nikamuomba tuonane, akagoma na kusema nieleze shida yangu kwa simu. Sasa sijui alihisi namuita aje kunipa shoo au vipi. Nikamuelezea kwa simu nilichoamua, akajifanya kupanick, haukupita muda ghafla nashangaa mtu huyu hapa mlangoni kwangu. Akawa hataki habari za kuachana ila msimamo wangu ukawa ni huo.

Mwisho wa siku akakubaliana na hali.
Safi. Ulimla tiGo?
 
nilikua nakaa mkoa tofauti nauli najichanga mwenyewe, mkikutana hela yangu ndio inunue chakula kulipia lodge na bado naondoka na nyege zangu najiuliza had leo sjui ilikuaje bado sikh zingine umuanze wewe kwa kumtext siku nikakaa kikao na nafsi yangu na kuanza kujisimanga yani kweli mimi leo hii ndio naspend hela yangu na mwanaume hana impact yoyote kwangu? hajui kujiongeza nikajisemea hapana natakiwa kutoka kwa nguvu zote kwenye hayo mahusiano na yule boya! had leo nikikumbuka najicheka
Ulimpa tiGo?
 
Mkwe,

Lawama zote kwako. Fanya mambo vzr mkwe. Asikumbuke kabisaa wachumba wazamani, ikiwezekana asahau wote asahau Hadi kwao.

Ntakupa mbinu.
Mbona unanichekesha asubuhi 😂
Subiri nije unipe mbinu,🤸
 
Ndio tulivyo mkuu! Kama wachawi tu 😂😂

Penda hiyo manzi harder.
Kwakweli hamueleweki kabisa, yaani mnafanya mtu aishi kwa timing maana akizembea atapigwa vizinga plus za uso za kutosha.

Huyu manzi nilishamuona toka mwanzo kua anakutingisha kwanza ajue wewe ukoje ni wale good guys au bad boys.
Ukiwa good guy umeisha
 
Back
Top Bottom