Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Duuh kumbe huyu nisimuache japo ni chuma ulete kwa kiasi chake ila anajari matatizo yangu na hivyo viburi vya kuzira hana maana mm dakika mbili mbele nshafura hasira.
Alishajaribu hizo tuachane akaambulia patupu maana nilimuachana kweli.

Hawa viumbe sometimes hawapendi kheri bali shari sijui kwanini, mpaka leo nashindwa kuelewa hili.
Huyu wangu ukileta kheri yeye atafanya juu chini alete shari, basi nshazoea na mimi sometimes naanzisha zogo zogo kweli hadi machozi yamtoke.
Ndio tulivyo mkuu! Kama wachawi tu 😂😂

Penda hiyo manzi harder.
 
1. Wewe na hayo mampira yako nmechoka kama umelogwa, sasa chagua moja mimi au mpira. Nikachagua mpira wangu ambao nipo nao hadi leo.

2. Unamtumia mama yako hela yanini si unipe, mama yako na mimi nani wamuhimu sana kwako? Hapo nimetoka kupitia msoto mkali sana, mama mgonjwa na hiyo hela niliuza pc yangu na lengo nilimwambia. Sikumjibu alivyoondoka nikampunguza jumla.
Kuna story nikizisikia najiulizaga is this we? Is we this? My gender, tunatumikaga na shetani sana jamani, acheni tuoge mafuta kawe...kiruuu😞😞😞
 
As man at times unatamani hata mara moja moja upikiwe na baby, kufua hajawahi in two years time. Kwangu ilikuwa sawa but chakula it was a red flag...! It didn't sit well with me.
Mimi ntaachwa sana kwa hizi sababu....

Nina mwaka 10 almost sifui.... au generally nikijumlisha siku zote nilizofua maishani hazifiki siku 365.

Hiki si kitu cha kumuacha mtu bana.
 
Wanawake tulee watoto vizuri, we can do better. Kuna vitu ni inhumane.....
Kabisa..highest degree of selfishness. Cha kushangaza: tumejaa makanisani na misikitini, madai ya uchaji. Uchaji which, where, when, how??? hata vitabu vya dini vimekataza....though waliotufundisha haya ni wanaume ila mwisho wa siku KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE!!!!
 
Back
Top Bottom