Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Aiseee huyo hatari, na hii ndio shida ya wanawake walio wengi yaani ukiwa naye kwenye mahusiano tayari anaona amepata pa kutulia matatizo yake mbaya zaidi haangalii hata mazingira anachoangalia ni shida zake kuisha
Ni shida kweli kweli kupata mwanamke anajielewa na hana mambo ya omba omba. Ukimpata basi utakuta hana tako au sura ya baba🤣🤣🤣🤣
 
Ni shida kweli kweli kupata mwanamke anajielewa na hana mambo ya omba omba. Ukimpata basi utakuta hana tako au sura ya baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenye sura za baba si hamuwataki. Endeleeni kunyooshwa na hizo pisi kali [emoji75]
 
Wa kwanza alikuwa single mama, aisee mbususu yake ilikuwa tamu na niseme ukweli katika wanawake wazuri niliwahi date huyu alikuwa pisi kweli kweli na nakawa najipa matumaini hapa mzabzab natulia naoa.
Sasa bwana, siku moja mrembo tumeenda zetu mall full raha nikasema leo bby ngoja nimtreat nikambia wee kafanye shoppig. Mie nikaenda zurula zangu maeno. Narudi nakuta bill laki nne na zote kwenye cosmetics. Aisee nililipa kinyonge sana....kweli tusake hela....anyways nikasema sio ishu sana.
Alipokuja kuniboa siku katika maomgezi ananiambia oh mzabzab inabidi umpende mtoto wangu kuliko mie....halloooo...hapo ndio nikasema pamoja na upisi kali wako na utamu wa mbususu hapa mie nduki.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa na wewe unacheka nini tena? Ngoja na wewe andunje apate sababu ya kukubwaga.
Wee bwana unajua mwenzio nipo grid ya taifa sasa harusi yako unavyozidi kuchelewesha mie nitakufa sijala wali mchafu....mwambia andunje mzabzab anasema afanye haraka kuhusu harusi
 
Sasa na wewe unacheka nini tena? Ngoja na wewe andunje apate sababu ya kukubwaga.
Wee bwana unajua mwenzio nipo grid ya taifa sasa harusi yako unavyozidi kuchelewesha mie nitakufa sijala wali mchafu....mwambia andunje mzabzab anasema afanye haraka kuhusu harusi
Acha hizo bwana grid ipi kwanza? Wewe lazima uje kula ubwabwa tuombeane uzima tu rafiki yangu.
 
Alikuwa anajidai msafi sana.. Kila mara akija #ghetto# lazima abadilishe mashuka... Anakaa hata 3 days ni kubadili shuka tu ila hafui... Yeye anakuta safi nimezifua yeye ni kutandika safi tu.

Akifua sana sana ni soksi zangu tu na leso... Nikaona hapa sio ishu.. Kama kufua hataki kwanini abadili shuka!?... Nikavua kiatu.. Nikasonga mbele kama injili..
nimecheka
 
Yule wa kwangu alikuwa hajui kumenya machungwa. Yani akimenya lazima ayachimbe chimbe kiasi kwamba huyali kwa raha. Kuna siku walikuja washkaji ghetto, baada ya msosi akatuandalia machungwa. Aisee aliyachimba balaa, nikajiuliza what if wangekuwa wageni wa heshima, si ataniaibisha huyu?

Nikapiga chini.
😂Daaah aisee JF kituo cha burudani
 
Back
Top Bottom