Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Wanawake kwakweli sijui hua mna matatizo gani?

Huyu dem anaishi mkoa tofauti na niliko mimi. Sasa tukiwa mbali kila siku hua ananiambia jinsi ambavyo amenimiss, ana hamu na mimi, ananishawishi sana nije mkoa alipo na ahadi kedekede jinsi ambavyo nikija "atanipea yote".

Cha ajabu sasa, juzi ilikua mara ya 3 mimi kuja mkoa alipo, lakini nikishafika tu huo mkoa, yeye ataanza kutoa kila aina ya visingizio visivyo na kichwa wala miguu kwanini hawezi kuja tuonane! Mind you, tulishakulana.

Sasa nimeona bora nibwage manyanga kimyakimya kwakweli. Huu ni uzwazwa.
Drama queen ndo huyo sasa
 
Hii ni case ya pili nakutana nayo humu JF kuhusu mwanamke kumis mshikaji wake na kumshinikiza aende alipo mwanaume akishafika demu hana time nae
 
1. Wewe na hayo mampira yako nmechoka kama umelogwa, sasa chagua moja mimi au mpira. Nikachagua mpira wangu ambao nipo nao hadi leo.

2. Unamtumia mama yako hela yanini si unipe, mama yako na mimi nani wamuhimu sana kwako? Hapo nimetoka kupitia msoto mkali sana, mama mgonjwa na hiyo hela niliuza pc yangu na lengo nilimwambia. Sikumjibu alivyoondoka nikampunguza jumla.
 
[emoji23]
 
Alinipa taarifa kuwa anasafiri kumbe yupo ila hataki kuonana na mimi na ilikua ni kawaida yake badae ndio nilikuja jua. Kuna mtu akawa kamuona mjini akanipa taarifa asijue kuwa kamchomea na alivyo mwehu kipindi anadai kasafiri alianza kumfuatilia rafiki yangu asijue rafiki yangu anaelewa kila kitu, tukapanga siku akubali waonane na mimi nikawaibukia na mapenzi yakafa siku hiyo hiyo.
 
Red flag moja na hapo hapo akapokea thank you....! Alikuwa hapiki japo kila kitu kipo ndani, ikifika mida ya msosi atakuomba umpigie boda wako umuagize chakula. Nikaona huyu ni mwanaume mwenzangu tu. Nikampiga kibuti
 
Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika (nadhani katika purukushani ya kuvibeba). Kati ya vitu walivyoiba, kulikuwa na vitu ambavyo ndio nilikuwa navitumia kwenye biashara zangu za wakati huo. Kiufupi wakawa wamenirudisha nyuma sana.

Nilimpa taarifa aliyekuwa mpenzi wangu, kwavile hakuwa anaishi mbali na pale, akaja hadi eneo la tukio. Akanipa pole, tukaenda wote polisi kureport tukio. Wakati ananiaga arudi kwao, akaniambia anashida ya kiasi fulani cha hela maana Mzee wake anaumwa. Sikuwa vizuri kifedha muda ule maana ndio nimetoka safari, alaf pia biashara ndio kama hivyo nishapigwa tukio. Hivyo nikamwambia kiasi alichoomba kwa muda ule sina, ila avumilie kama siku mbili hivi nione naweza kumsaidia kiasi gani.

Hapo ikawa ugomvi, akalalamika kwamba sijali matatizo yake, siyatimizi kwa wakati, siwapi uzito ndugu zake nk. Akaondoka kwa hasira, hata nauli niliyotaka kumpa akaikataa.

Alinighost for two days, hapokei simu wala kujibu msg zangu

Pale ndio nikapata red flag, kwamba "She doesn't take no for an answer". Jambo ambalo in long run lazima lingetugombanisha tena mara kwa mara. Maana hiyo ilikuwa ni kama mara ya tatu hali hiyo inajitokeza.

From there nikaona tunapotezeana muda, nikamuacha mpaka hasira zake zilivyoisha. Siku aliyoamua kunitafuta, nikamuomba tuonane, akagoma na kusema nieleze shida yangu kwa simu. Sasa sijui alihisi namuita aje kunipa shoo au vipi. Nikamuelezea kwa simu nilichoamua, akajifanya kupanick, haukupita muda ghafla nashangaa mtu huyu hapa mlangoni kwangu. Akawa hataki habari za kuachana ila msimamo wangu ukawa ni huo.

Mwisho wa siku akakubaliana na hali.
Money money money....umenisababisha nikutoroke. 🤣🤣🤣🤣
Viumbe hawa utu kabisa. Mtu una majanga yeye halioni hilo anawaza yale tuu...so selfish.
 
Red flag moja na hapo hapo akapokea thank you....! Alikuwa hapiki japo kila kitu kipo ndani, ikifika mida ya msosi atakuomba umpigie boda wako umuagize chakula. Nikaona huyu ni mwanaume mwenzangu tu. Nikampiga kibuti
🤣🤣🤣🤣 Ah kwa hiyo ukapiga chini kisa kupika...mwanawane sii mama ntilie wapo wengi tuu unakula huko alafu unakuja kula mbususu
 
Mimi nashangaa mwanaume unamsaidia vipi mwanamke ambae huna ndoa nae?.

Hivi hela unayotumia kwa huyo mwanamke na kununua Malay..a ipi bora?.

Malay… a hana usumbufu unamlipa mmemalizana, unae mwita girlfriend anataka hela yako kama mna mkataba wa kihela.

I love money,Bangi na Bia I don’t love no hoe.
Ndio wanaume wenye common sense ufimiri hivyo.
Hawa vijana husumbuliwa na wanawake.
 
Back
Top Bottom