joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Mi nilikuwa na msichana kila siku anajipost social media nikaona si saizi yangu nikajitoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upishi hata ajue kidogo sio asijue kabisa huwa Ni hatari...maana kuna situation anaweza ruhusu chakula kilichopikwa vibaya kikawafikia wageni pasi yeye kujua.Kufua has never been an issue...! Kuna mtu special kwa ajili ya hilo... Not Cooking ndo ilikuwa issue
So shida Ni wao wenyewe sio sheta tena...maana Kila kitu sheta huona ndio sababu ya yanayowasibuKabisa..highest degree of selfishness. Cha kushangaza: tumejaa makanisani na misikitini, madai ya uchaji. Uchaji which, where, when, how??? hata vitabu vya dini vimekataza....though waliotufundisha haya ni wanaume ila mwisho wa siku KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE!!!!
Hii kitu huwa najiuliza nashindwa kuelewa inakuwaje mwanamume atoe pesa kumpa mwanamke ambaye sio mkewe?Kwa nini ulitaka kumsaidia kifedha mwanamke ambaye haujamuoa?
Mwanamke pekee ambaye anatakiwa ale pesa yako ni mkeo wa ndoa tu
Ila nakupongeza kwa kumpiga chini huyo malaya
📌📌📌Upishi hata ajue kidogo sio asijue kabisa huwa Ni hatari...maana kuna situation anaweza ruhusu chakula kilichopikwa vibaya kikawafikia wageni pasi yeye kujua.
Shida unatuacha njia panda 🤣🤣🤣
Tusogeze sogeze Vibuta au Michese palee 🤣🤣🤣Bakini tu hapo njiapanda 😂😂
pumzikeni kabisa tena msiongeeee mpaka mmalize marejeshoSisi wenye mkopo ASA na OYA tupumzike😆😆😆
kabisaKwakwel kwa wenye njaa njaa (tena hasa vile vi njaa vidogo dofo vya kijinga jinga) wayaache tu 😂.
Ndio mwisho wa siku mambo ya kumwagana ubongo
Mpaka tutakapokopa deni linginepumzikeni kabisa tena msiongeeee mpaka mmalize marejesho
Leo mwasibu umeandika jambo kama mwananchi vileHuwa sijiulizi mara 2 kumpiga chini demu anayeninunia kwa sababu ya kutompa hela. Tena hufurahi sana hiyo "taraka"
Nina nidhamu sana ya hela kwenye mapenzi, kwa sababu mimi sio source of income ya mwanamke.
Yule demu nilikuwa nampa pesa ndogo ndogo, kwa mara moja haizidi 30k. Siku moja akiwa kifuani kwangu akaniambia hata sijawahi kumsaidia jambo kubwa zaidi ya pesa ndogo ndogo.
Baada ya kuondoka, sikupokea tena simu yake. Akatuma watu kuomba msamaha, sikuwajibu.
Mwanamke ukishamla asikuendeshe
😂😂😂ujasiri wa kukopa OYA mnautoa wapi wale hivi wanalalaga maana hata alfajiri unakutana na vigari vyao mtaani😂😂Mpaka tutakapokopa deni lingine
Kuna baadhi yenu utu unawatoka kabisa hasa mbele ya fedha. Matukio ni mengi sana yanasikitisha.Kuna story nikizisikia najiulizaga is this we? Is we this? My gender, tunatumikaga na shetani sana jamani, acheni tuoge mafuta kawe...kiruuu😞😞😞
And you know whats crazier??🤔Kuna baadhi yenu utu unawatoka kabisa hasa mbele ya fedha. Matukio ni mengi sana yanasikitisha.
Unadhani kuna kujali kuhusu hilo basi, mtu anawaza kuifuraisha na kuinufaisha nafsi yake bila kujali kuwa anamuumiza mwingine.And you know whats crazier??🤔
Unakuta huyo anaekufanyia hayo ni single mama mwenye mtoto wa kiume ANAYEMPENDA sana kiasi kwamba asingevumilia kuona akitendewa hayo anayokutendea. Biblia imeniambia "Mademoiselle mjue SANA MUNGU ili uwe na amani..na ndipo MEMA yatakapokujia", sema njoo vile tena, wengi wetu tunaigiza wokovu...hatuuishi wokovu. Yajayo yanaogopesha!!!