Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Yeah kwa mwandiko huu nakukubalia unaipenda sana bangi
 
Alikuwa anajidai msafi sana.. Kila mara akija #ghetto# lazima abadilishe mashuka... Anakaa hata 3 days ni kubadili shuka tu ila hafui... Yeye anakuta safi nimezifua yeye ni kutandika safi tu.

Akifua sana sana ni soksi zangu tu na leso... Nikaona hapa sio ishu.. Kama kufua hataki kwanini abadili shuka!?... Nikavua kiatu.. Nikasonga mbele kama injili..
 
Ulikosea kumuacha! Ulitakiwa ununue washing machine
 
Huwa sijiulizi mara 2 kumpiga chini demu anayeninunia kwa sababu ya kutompa hela. Tena hufurahi sana hiyo "taraka"
Nina nidhamu sana ya hela kwenye mapenzi, kwa sababu mimi sio source of income ya mwanamke.

Yule demu nilikuwa nampa pesa ndogo ndogo, kwa mara moja haizidi 30k. Siku moja akiwa kifuani kwangu akaniambia hata sijawahi kumsaidia jambo kubwa zaidi ya pesa ndogo ndogo.

Baada ya kuondoka, sikupokea tena simu yake. Akatuma watu kuomba msamaha, sikuwajibu.

Mwanamke ukishamla asikuendeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…