Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Aiseee huyo hatari, na hii ndio shida ya wanawake walio wengi yaani ukiwa naye kwenye mahusiano tayari anaona amepata pa kutulia matatizo yake mbaya zaidi haangalii hata mazingira anachoangalia ni shida zake kuisha
Ni shida kweli kweli kupata mwanamke anajielewa na hana mambo ya omba omba. Ukimpata basi utakuta hana tako au sura ya baba🀣🀣🀣🀣
 
Ni shida kweli kweli kupata mwanamke anajielewa na hana mambo ya omba omba. Ukimpata basi utakuta hana tako au sura ya baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenye sura za baba si hamuwataki. Endeleeni kunyooshwa na hizo pisi kali [emoji75]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa na wewe unacheka nini tena? Ngoja na wewe andunje apate sababu ya kukubwaga.
Wee bwana unajua mwenzio nipo grid ya taifa sasa harusi yako unavyozidi kuchelewesha mie nitakufa sijala wali mchafu....mwambia andunje mzabzab anasema afanye haraka kuhusu harusi
 
Acha hizo bwana grid ipi kwanza? Wewe lazima uje kula ubwabwa tuombeane uzima tu rafiki yangu.
 
nimecheka
 
πŸ˜‚Daaah aisee JF kituo cha burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…