Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

Nikiisema yule mngese lazima atajijua tu kama yupo humu

Manake ni kitu cha pekee nimeona kwake tangu nianze game ya mapenzi

Wanaosema duniani hakuna jipya kwa yule mwanaume niliona jipya 🙌
As long as ni fake id's we sema tu, wenye hiko kitu tuache haraka sana
 
Nikiisema yule mngese lazima atajijua tu kama yupo humu

Manake ni kitu cha pekee nimeona kwake tangu nianze game ya mapenzi

Wanaosema duniani hakuna jipya kwa yule mwanaume niliona jipya 🙌
Alifanya Nini mpwa?
 
Back
Top Bottom