Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu uwenda angejua kama ulijiunga kwa ajili yake angejibu message na uenda ungekua nae sema ndo hivyo usilolijua ni sawa na usiku wa gizaBinafsi nilikua nasoma Jamii Forum kama guest lakini kuna dada alinivutia sana sijui siku hizi yupo wapi, nilijikuta ninampenda yule dada kuanzia naman anavyowasilisha mada, anavyochangia katika majukwaa mbalimbali na hata vile anavyojielewa, she was the best yani nilikua mpaka natamani nimpate nimuoe kabisa
Mwaka 2014, nikaamua kujiunga Jamii forum ili nijiweke karibu na huyo dada, nilitumia mbinu zote kumpata ila nikagonga mwamba kwanza hata PM alikua hajibu , sikumoja nikajitosa kumfungulia uzi, wakati uzi unatrend huyo dada akapotea hapa jukwaani moja kwa moja sijui aliamua kuikimbia JF au ana ID mpya, nilitamani niondoke JF moja kwa moja lakini najipa moyo kwamba atarudi
Anha nikajua na wewe umekutana na hasira za mods kiasi ikabidi urudi kwa id ingine.Nilikua msomaji tuu mkuu nimejiunga juzi juzi tu hapa
Yah kwa maoni yako mkuu ila kwa anayeijua JamiiForums ya miaka nane nyuma atakwambia hapa siku hizi hamna ladha.Hapana mkuu ila jf patamu sana mkuu
Nilimwambia kwamba nimejiunga hapa kwa ajili yake, ila shida ni kwamba alikua ameolewa na anaonekana alikua anampenda sana mume wakePole mkuu uwenda angejua kama ulijiunga kwa ajili yake angejibu message na uenda ungekua nae sema ndo hivyo usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Nahisi hiyo ni kwa sababu ya kizazi cha sasa mambo yamekua mengi vijana wameharibikaYah kwa maoni yako mkuu ila kwa anayeijua JamiiForums ya miaka nane nyuma atakwambia hapa siku hizi hamna ladha.
Kulikuwa na wakati hapa palikuwa na utulivu sana ila sasa mmnh hamna hiyo kitu.
Hapana alikua ke, hata kwenye nyuzi zake nyingi alikua anaongelea ndoa na watoto, tena alikua anamsifia mume wake sana, nimemfatilia tangu 2014 mpaka mwaka huu alipojiondoa rasmiJF kwa hiyo nina uhakika ni KeMr. Malume.... Huyo dada unaesema uenda hata akawa aliku 'me. Nakuhurumia sana.
Hongera mkuu maana hadi ujiunge jf lazima uwe mjanja mjanja kidogo bila hivyo ni ngumuBinafsi nliifaham JF kupitia google coz mda mwingi nlikuwa natafiti sana mambo ya afya..... Kila nikisearch chochote kihusucho afya, inakuja makala ya MziziMkavu +jamii forums. Hii ilinipa swali tena kichwani, "**Jamii forums n nn?,"
Nkaidadisi bt mostly nkihitaj kureply chochote kwenye makala naambiwa kuwa n lazima niwe member...
Baadae ktk pitapita zangu playstore nliona app nkaibeba thn nkajisajili juz kati tu.
Thats all
Mimi ID yangu ya kwanza nilijiuna 2010 kwasababu ya uchaguzi maana humu mambo yalikuwa moto moto moto. Nilikuja kuituoa baada ya kupigwa ban ya muda mrefu nikafungua hii hata ilipokuja achiliwa nikawa bishaizoea hii.Nakumbuka mwaka 2016 kipindi icho nikiwa kidato cha 3 nilipata demu flani hivi na kusema ukweli nilitokea kumpenda sana huyu mwanamke, kiasi kwamba nikawa namchunguza maana nilihisi uwenda akawa anatoka na wadau wengine, hali hii ilinipelekea nikawa nagoogle sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda, mara nagoogle dalili za mwanamke mwenye wapenzi ya mmoja, sasa katika kugoogle nikawa napata majibu ambayo yanayonipeleka moja kwa moja kwenye jukwaa la mapenzi, hivyo nikawa mlevi wa jukwaa la mapenzi.
Pia mwaka 2018 kipindi nipo A level nikapata tena demu mwingine aisee nae nae nilimpenda sana na nikawa namfatilia sana hivyo nikajikuta nagoogle sana mada za mapenzi ambazo majibu yake nikawa nayapata kwenye jukwaa la mapenzi nahisi kwa watu wanaongoza kufatilia mada za mapenzi ni mimi maana nilikua kama mlevi tena wa mapenzi.
Mwisho kabisa siwezi kusahau jukwaa la mambo ya technology maana nilikua nalifatilia sana mambo ya simu, laptop na games mbali mbali, naweza kusema kwa kifupi mambo ya mapenzi na technology ndio yamenileta humu jf.
Karibuni sana wadau na nyie mueleze sababu zipi ziliwapelekea mpaka mkajiunga na mtandao wa jamiiforum.
NAWASILISHA.
Alikua hajibu hata PM mkuu, na hata ukijifanya kumchangamkia kwenye comments anapita kama hakuoniUngemwambia ata muonane mkuu japo upate hata kumuona mkuu
Duuh pole mkuu kwa ban maana jf nasikia ukizingua tu ban inakuhusuMimi ID yangu ya kwanza nilijiuna 2010 kwasababu ya uchaguzi maana humu mambo yalikuwa moto moto moto. Nilikuja kuituoa baada ya kupigwa ban ya muda mrefu nikafungua hii hata ilipokuja achiliwa nikawa bishaizoea hii.