Ni kitu gani kilikupelekea mpaka ukajiunga na mtandao wa jamiiforum

Binafsi nilikua nasoma Jamii Forum kama guest lakini kuna dada alinivutia sana sijui siku hizi yupo wapi, nilijikuta ninampenda yule dada kuanzia naman anavyowasilisha mada, anavyochangia katika majukwaa mbalimbali na hata vile anavyojielewa, she was the best yani nilikua mpaka natamani nimpate nimuoe kabisa
Mwaka 2014, nikaamua kujiunga Jamii forum ili nijiweke karibu na huyo dada, nilitumia mbinu zote kumpata ila nikagonga mwamba kwanza hata PM alikua hajibu , sikumoja nikajitosa kumfungulia uzi, wakati uzi unatrend huyo dada akapotea hapa jukwaani moja kwa moja sijui aliamua kuikimbia JF au ana ID mpya, nilitamani niondoke JF moja kwa moja lakini najipa moyo kwamba atarudi
 
Pole mkuu uwenda angejua kama ulijiunga kwa ajili yake angejibu message na uenda ungekua nae sema ndo hivyo usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
Mimi nilijiunga humu nkifuata "katuni mix". Ila cku hizi siipati tena hiyo katuni. Sijui mchoraji alienda wapi.

Lakini hivi karibuni nimejionea vituko sana. Matusi tele. Tena bila kujali wanatukana hadi marais. Baya zaidi hadi wengine walishakwenda mbele za haki. Lakini bado matusi yanawafuata. Nadhan mods wako mrengo fulani. Na sio vizuri.
 
Hapana mkuu ila jf patamu sana mkuu
Yah kwa maoni yako mkuu ila kwa anayeijua JamiiForums ya miaka nane nyuma atakwambia hapa siku hizi hamna ladha.

Kulikuwa na wakati hapa palikuwa na utulivu sana ila sasa mmnh hamna hiyo kitu.
 
Binafsi nliifaham JF kupitia google coz mda mwingi nlikuwa natafiti sana mambo ya afya..... Kila nikisearch chochote kihusucho afya, inakuja makala ya MziziMkavu +jamii forums. Hii ilinipa swali tena kichwani, "**Jamii forums n nn?,"
Nkaidadisi bt mostly nkihitaj kureply chochote kwenye makala naambiwa kuwa n lazima niwe member...

Baadae ktk pitapita zangu playstore nliona app nkaibeba thn nkajisajili juz kati tu.

Thats all
 
Pole mkuu uwenda angejua kama ulijiunga kwa ajili yake angejibu message na uenda ungekua nae sema ndo hivyo usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Nilimwambia kwamba nimejiunga hapa kwa ajili yake, ila shida ni kwamba alikua ameolewa na anaonekana alikua anampenda sana mume wake
 
Yah kwa maoni yako mkuu ila kwa anayeijua JamiiForums ya miaka nane nyuma atakwambia hapa siku hizi hamna ladha.

Kulikuwa na wakati hapa palikuwa na utulivu sana ila sasa mmnh hamna hiyo kitu.
Nahisi hiyo ni kwa sababu ya kizazi cha sasa mambo yamekua mengi vijana wameharibika
 
Mr. Malume.... Huyo dada unaesema uenda hata akawa aliku 'me. Nakuhurumia sana.
Hapana alikua ke, hata kwenye nyuzi zake nyingi alikua anaongelea ndoa na watoto, tena alikua anamsifia mume wake sana, nimemfatilia tangu 2014 mpaka mwaka huu alipojiondoa rasmiJF kwa hiyo nina uhakika ni Ke
 
Nilimwambia kwamba nimejiunga hapa kwa ajili yake, ila shida ni kwamba alikua ameolewa na anaonekana alikua anampenda sana mume wake
Ungemwambia ata muonane mkuu japo upate hata kumuona mkuu
 
Binafsi nliifaham JF kupitia google coz mda mwingi nlikuwa natafiti sana mambo ya afya..... Kila nikisearch chochote kihusucho afya, inakuja makala ya MziziMkavu +jamii forums. Hii ilinipa swali tena kichwani, "**Jamii forums n nn?,"
Nkaidadisi bt mostly nkihitaj kureply chochote kwenye makala naambiwa kuwa n lazima niwe member...

Baadae ktk pitapita zangu playstore nliona app nkaibeba thn nkajisajili juz kati tu.

Thats all
Hongera mkuu maana hadi ujiunge jf lazima uwe mjanja mjanja kidogo bila hivyo ni ngumu
 
Nakumbuka mwaka 2016 kipindi icho nikiwa kidato cha 3 nilipata demu flani hivi na kusema ukweli nilitokea kumpenda sana huyu mwanamke, kiasi kwamba nikawa namchunguza maana nilihisi uwenda akawa anatoka na wadau wengine, hali hii ilinipelekea nikawa nagoogle sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda, mara nagoogle dalili za mwanamke mwenye wapenzi ya mmoja, sasa katika kugoogle nikawa napata majibu ambayo yanayonipeleka moja kwa moja kwenye jukwaa la mapenzi, hivyo nikawa mlevi wa jukwaa la mapenzi.

Pia mwaka 2018 kipindi nipo A level nikapata tena demu mwingine aisee nae nae nilimpenda sana na nikawa namfatilia sana hivyo nikajikuta nagoogle sana mada za mapenzi ambazo majibu yake nikawa nayapata kwenye jukwaa la mapenzi nahisi kwa watu wanaongoza kufatilia mada za mapenzi ni mimi maana nilikua kama mlevi tena wa mapenzi.

Mwisho kabisa siwezi kusahau jukwaa la mambo ya technology maana nilikua nalifatilia sana mambo ya simu, laptop na games mbali mbali, naweza kusema kwa kifupi mambo ya mapenzi na technology ndio yamenileta humu jf.

Karibuni sana wadau na nyie mueleze sababu zipi ziliwapelekea mpaka mkajiunga na mtandao wa jamiiforum.

NAWASILISHA.
Mimi ID yangu ya kwanza nilijiuna 2010 kwasababu ya uchaguzi maana humu mambo yalikuwa moto moto moto. Nilikuja kuituoa baada ya kupigwa ban ya muda mrefu nikafungua hii hata ilipokuja achiliwa nikawa bishaizoea hii.
 
Ungemwambia ata muonane mkuu japo upate hata kumuona mkuu
Alikua hajibu hata PM mkuu, na hata ukijifanya kumchangamkia kwenye comments anapita kama hakuoni
 
Nilianza kufuatilia JF ikiitwa Jambo forums miaka ya 2006, mleta mada ulikua na umri gani kipindi hicho? Mwaka 2008 nikawa member, so hadi Leo Nina miaka 13 humu ndani as a registered member na nimekua ONLINE na mchangiaji kwa miaka yote hio
 
Mimi ID yangu ya kwanza nilijiuna 2010 kwasababu ya uchaguzi maana humu mambo yalikuwa moto moto moto. Nilikuja kuituoa baada ya kupigwa ban ya muda mrefu nikafungua hii hata ilipokuja achiliwa nikawa bishaizoea hii.
Duuh pole mkuu kwa ban maana jf nasikia ukizingua tu ban inakuhusu
 
Alikua hajibu hata PM mkuu, na hata ukijifanya kumchangamkia kwenye comments anapita kama hakuoni
Aisee huyo nae alikua na maringo sasa au alikua kakolea kwa mumewe
 
Back
Top Bottom