Ni kitu gani kilikupelekea mpaka ukajiunga na mtandao wa jamiiforum

Hahahah ndio huwezi mkuta mluga luga humu jf mkuu
wapo waluga luga wanaoitwa MATAGA pori waliungiwa I'd na Polepole pale Lumumba Ili kueneza propaganda zao humu,huo ndio ukawa mwanzo wa kupatwa Kwa JF maana lilitokea kundi la wajinga wakifanya praise team Kwa kutukana watu,kushambulia bila hoja na kisifia Hadi Ujinga,
Ila tunashukuru baadhi Yao walikimbia jukwaa baada ya buku Saba kukata maana sponsor kufa
Wachache wakatubu,wachache wakachange upepo
Wachache wamebaki kua misukule na wanafahamika humu!
 
Hahaha nakumbuka mm ni 2014 npo form 2 nlikua nmeanza kuita ndevu sasa nkawa nasearch google jinsi ya kuzuia kuota ndevu ndo nkawa nmekutana na kitu cha kuitwa jamii forum toka hyo nkawa kaa guest ika 2018 ndo nkawa rasmiii member mpka leo si haba
 
Duuh kwahiyo jf ilivamiwa kwa mda humu mkuu
 
Hongera mkuu ujue jf hadi ujiunge nayo lazima kuna kitu ulikua unatafuta google yani
 
Duuh kwahiyo jf ilivamiwa kwa mda humu mkuu
ndio na inaendelea kuvamiwa na vijana wasiojielewa,
Ingawa wapo na wazee wa hovyo humu ila tunavumiliana ndio utandawazi wenyewe mkuu

Ila tatizo linakuja Kwa baadhi ya members wakongwe humu, hua hawakubali kwamba Dunia imebadilika Kwa Kasi na umri ushawatupa mkono na vijana ndio tunashika hatamu, hivyo hubaki kulalamika tu JF ya siku hizi Haina Radha Kwa kuvamiwa na kina sisi hapa ila wanasahau wakati haugandi hata sisi tutaenda mwenye ukongwe na watoto wa juzi watakuja kutupiga mikwara na itabidi tuwe wapole maana ndio utakua wakati wao!
 
ndio na inaendelea kuvamiwa na vijana wasiojielewa,
Ingawa wapo na wazee wa hovyo humu ila tunavumiliana ndio utandawazi wenyewe mkuu

Ila tatizo linakuja Kwa baadhi ya members wakongwe humu hua hawakubali kwamba Dunia imebadilika Kwa Kasi na umri ushawatupa mkono na vijana ndio tunashika hatamu hivyo hubaki kulalamika tu JF ya siku hizi Haina Radha Kwa kuvamiwa na kina sisi hapa ila wanasahau wakati haugandi hata sisi tutaenda mwenye ukongwe na watoto wa juzi watakuja kutupiga mikwara na itabidi tuwe wapole maana ndio utakua wakati wao!
Alafu me naona jf kwa sasa ndio imechangamka kwa kua kuna ongezeko la vijana wengi sana humu mkuu
 
Hahaha nakumbuka mm ni 2014 npo form 2 nlikua nmeanza kuita ndevu sasa nkawa nasearch google jinsi ya kuzuia kuota ndevu ndo nkawa nmekutana na kitu cha kuitwa jamii forum toka hyo nkawa kaa guest ika 2018 ndo nkawa rasmiii member mpka leo si haba
nakuzoom Kwa mbali class mate
Hiiiii bha goshaaaa!
😜😜😜
 
Alafu me naona jf kwa sasa ndio imechangamka kwa kua kuna ongezeko la vijana wengi sana humu mkuu
ni kweli mkuu vijana tumekuja Kwa Kasi Sana humu Hadi wazee hawaamini Aisee
Kuna wazee hua tunapigana mikwara humu jamvini mpaka wanaona wananyanyasika Hivi
Maana vijana tuna kejeri Sana ila ndio hivyo muda mwingine inakua kuchangamsha genge tu
Hata mwanzilishi wa forum hii ndio ilikua lengo lake iwafikie vijana na kutupa mabadiliko chanya!
 
Yeap mkuu watuache vijana tujinafasi japo wakongwe wana umuhimu wao humu, maana bila wao sijui jf ingekua wapi
 
ndio hivyo heshima lazima wapewe Kwa mchango wao uliotukuka wamefanya mabadiliko makubwa Sana Sana ipo siku inabidi tuandae Uzi maalumu wa kutambua mchango wao hapa jamvini na tutaomba Uongozi uunde jukwaa la dharula Ili tuweze angalau kupata uwanja Mpana wa kupongezana!
 
2017 baada ya kuondokewa na Baba..hali niliyoipitia ikanifanya niwe mtu wa kugoogle na kutafuta uhaueni..nikakutana na nilichokua nakitafuta huku jamiiforum..nikaamua nijiunge na nashukuru Mungu nikawa sawa.
 
pole Sana mkuu Najua yote yalipita,maisha ni changamoto ila ndani ya changamoto unaweza kutana na Neema ndani yake!
 
Kuna msela wangu, alikua anakuja huku jukwaa la wazee wa kubeti akaniambia kuna na kuuliza maswali kama ya kitechnologia ukapata wajuzi wakakupa majibu ya maswalia yako.

Basi mzee na mimi nikaruka nayo jamii forum.
Ila mie majukwaa yangu ni
~Jukwaa la Dini.
~Mahusiano, urafik
~na habar na hoja mchanganyiko utanikuta hizo area
 
Hahaha nakumbuka mm ni 2014 npo form 2 nlikua nmeanza kuita ndevu sasa nkawa nasearch google jinsi ya kuzuia kuota ndevu ndo nkawa nmekutana na kitu cha kuitwa jamii forum toka hyo nkawa kaa guest ika 2018 ndo nkawa rasmiii member mpka leo si haba
Kumbe wewe kitoto hivo.
Usije nikolomea wala nibishia kitu tena mimi mkubwa kwako 😎
 
ndio hivyo heshima lazima wapewe Kwa mchango wao uliotukuka wamefanya mabadiliko makubwa Sana Sana ipo siku inabidi tuandae Uzi maalumu wa kutambua mchango wao hapa jamvini na tutaomba Uongozi uunde jukwaa la dharula Ili tuweze angalau kupata uwanja Mpana wa kupongezana!
Safi sana mkuu hiyo itapendeza maana wameitoa jf mbali
 
Dah pole sana mkuu me huwa naamini hakuna aliejiunga jf kwa bahati mbaya lazima kuwe na reason's
2017 baada ya kuondokewa na Baba..hali niliyoipitia ikanifanya niwe mtu wa kugoogle na kutafuta uhaueni..nikakutana na nilichokua nakitafuta huku jamiiforum..nikaamua nijiunge na nashukuru Mungu nikawa sawa
 
Kumbe wewe kitoto hivo.
Usije nikolomea wala nibishia kitu tena mimi mkubwa kwako 😎
Tupe historia yako mkuu ilikuaje ukajiunga jf?
 
Back
Top Bottom