Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Hujajua tu brother, achana na hawa wanaopata pesa kutoka kwa madanga ila ambae ametokea maisha mazuri wengi wastaarabu alafu ni wako desperate kwasababu wanaogopwa na watu wengi. Kwaio wakibahatika kupata mwanaume wanakuwa wapole na adabu tele labla insecurity yako ndio ikufanye uwe mkorofi, uwe mkali nk umpoteze.
 
Vikuku mguuniπŸ˜ͺ, kucha kama Nsyuka, mijiKope na vijicho nkonyezo pamoja na makeup sipendagi!

Huwa akili inaniambia β€œatakudanga huyo”
Kaka mimi mwenye nikionaga tu dem makucha marefu sana naghairi hata kumwangaliaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ivi vikuku ni urembo kweli au na mengineyo yamejificha umo?Unakuta mdada anautafuta urembo mpaka basi.Sura nzuri tu lakini mwili kauharibu na matattoo nywele kaweka breach vikuku mguuni n nn?Halaf unatafuta mme!Kwel??Mme gan atakuchukua uko ivyo. Utabak wa kuliwa tu had body count ikose hesabu[emoji35][emoji35]
 
Umenikumbusha kuna rafiki yangu mmoja shule alikuwa ananisema eti mwanamke gani una macho makavuu, mwanamke unatakiwa uwe na jicho la aibu japo kidogo
kutongoza raha, asikuambie mtu, hasa ukute unatongoza afu mwanamke anakurembulia mikono kaelekeza mdomoni anang'ata kucha akiwa kapindisha shingo kidizain flani hivi, huku akikujibu kwa sauti ya chini kwa umbaliii tena nyororoo

Lazma ujimwagie uji surualini. Tena ukute unammbembeleza maeneo watu hawapiti ovyo, unajikuta na denda ushamla.

Kutongoza raha sana, ukutane na mwanamke anaejua kutongozwa.
 
daah nikiona dem mkali afu kavaa vikuku, au kope bandioa stongozi hata bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…