Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Kuombwa hela kuombwa hela kuombwa hela na kupewa majukumu mazito.
 
unamtongoza mwanamke harembui, hang'ati majani wala kucha hata kujilegeza kidogo tuu, kwa hali hiyo stimu zitatoka wapi
Umenikumbusha kuna rafiki yangu mmoja shule alikuwa ananisema eti mwanamke gani una macho makavuu, mwanamke unatakiwa uwe na jicho la aibu japo kidogo
 
Au unakuta demu mkali chini kakeketwa yaani ananikimbiza kbs.
 
Habari Wanaume Wa JF

Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu hakijamvutia kwa mwanamke.

Achana na maumbile tunaongelea yale mambo wanayojiongezea au kuyapunguza

Mfano: Mm katika harakati za kutongoza huwa nakatishwa motisha na wanawake weny kucha bandia( yale makucha marefu). Yaani namuona huyu sio msafi... hatandiki kitanda akiamka (obvious atakuw na kijeba kinatandika kila morning) hafui ata nguo za ndan,kaz ndgo ndgo home hafanyi, hajisafishi kule, nk

Wewe kitu gan hukuondolea stimu za kufukuzia demu?
Mbona wanawake tu......me sipendi mwanaume mchafu huyo hapana mambo mengine yanarekebishika

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sio wanawake tu, ata wanaume wanaoandika ivyo 'xaxa' badala ya 'sasa'...
"P" badala ya "poa".... "Niaje" badala ya " habari yako". Wanaboa sana
Huwa wananikata stimu kabisa, ata nikawa na Nia kweli ya kumtunukia nakatisha maongezi.
Habari yako!?
 
Mie binafsi mdada ambaye anavidole vyamkononi virungu afu vinene, HAPANA aiseee mtoto wakike unapaswa uwe na dolee nyembamba ndefu afu znafuka vimajimaji mda wote sio mdada mkono mkavu kama fundi kenika

[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu
Sasa vidole virefu kazi yake nini kwnye mapenzi?
 
Kunuka mdomo! Yaani ile anajibu tu salamu yako, hiyo harufu ya kinywa si ya nchi hii. Hapo mambo yote yanaharibika. Kiukweli mwanamke kunuka mdomo inatisha sana, bora tunuke sie!
Hamna cha bora yote ni ovyooo, kunuka mdomo kuna kata stimu kwa jinsia zote mbili
 
Kunikubalia kila ninachosema hanipi challenge! Huwa ananikata steam! Dem awe mgum kias nionyeshe kiwango changu
 
Yaani hata awe pisi kali kivipi nikiisha ona ya makucha marefu kama ya ibilisi nasi stimu zote zinakata.

Ukiachana na hao, wale wanao weka mipini kwenye pua
Kweli watu tunatofautina..mimi dada akivaa kipini tu naishiwa nguvu...napenda sana dada wa kipini
 
Back
Top Bottom