Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Ivi ni kwel wanawake wenye dread wanapiga sana vizinga? Nliwah kuwa na demu anadread... aisee zile nywele zinahtaj matunzo kwaiyo vizinga vya kila week 2 nlikuw navitarajia
 
Sasa wewe hii si kuumwa kikohozi jamani!!! Bado utakatwa stimu na chafya Sasa au hata kupumua loh
Unapougua kikohoz inabid ukiwah kwa dawa ili usifikie hatua ya kukohoa kwa kubanja
 
Unaogopa kuwa nikila mzigo sitatoa hela, kwasababu focus yako haiko kwangu, ila focus yako iko kwenye pochi yangu.

Mm sio bahili wala mchoyo, kama nina hela, mwanamke wangu akiwa na shida, hata laki au million nampa, as long as najua huyo mdada ana hisia na mimi, na hayuko na mm kwasababu anategemea nitampa hela Joannah
Ila umeongea vizuri Sana..tatizo focus inakuwaga pochi na sio penzi
 
Aisee ata kama unatak ule na kusepa...unaangalia unakula wapi.Mm binafsi swez fanya na mwanamke sjamkubali. Naona nmejipunguzia point maana ntakuw nmekubali kuna ukame wakat wanawake n wengi kuliko sisi wanaume!
[emoji28][emoji28]kaka hata maji machafu yanazima motoo
 
Hapa kwetu Njombe Mwez wa kumi na mbil mwaka 2021 nilikutana na binti flani ambaye kwa macho yangu namuona mzuri Sana, nlimuelewa sana yule dada. Alikuwa anapita sana kwenye kachochoro ambako ndipo ofisi yangu ilipo.

Basi ikawa kila akipita namuangalia sana naishia kusema kesho ntamsimamisha ila akipita tena napata uoga. Sasa wiki iliyopita nikawa nimejipanga kabisa kwamba leo lazima nimsimamishe hata niongee nae kidogo, Ile nimekaa sina hili wala lile mtoto huyo namuona anakuja, basi mwanaume nikajitosa nkamuita.

Dada wa watu akasimama nikasogea taratibu, sasa hapa ndo tatizo lilipoanzia,Nilipokuwa namkaribia nilishtuka sana, alikuwa ameshika cm mkono mmoja af mwingn kashika pochi, sasa nilipokuwa nampa mkono tusalimiane.. alinipa ule mkono wenye cm kumbe kwenye kidole kimoja alikuwa kaingiza ile ring ya funguo ambazo zilikuwa zimekaa kwa nyuma ya kiganja, mm nikawa naona cm tuu kumbe mtoto mkono huohuo kaning'iniza funguo za ndinga na remote ya BMW.

Kiukwel nlipoziona nilishtuka sana, mistari yote niloipanga kichwani ikayeyuka. Mwanaume nikakosa point kwa sababu nlianza kupata hofu kwamba mtu huyu sikumdhania kama anaweza kuwa na pesa ivoo. Nliona nimeparamia sehem sio level yangu

Nliishia kumwambia samahan sister nmekufananisha na dada mmoja huwa anapita sana hapa. Saivi huwa anapita ananipa hai mana nipo kwenye kabanda flan kana geti tuu so kila anapopita lazma tuonane.

Zile hisia za kumpenda zilishakata asee
Insecurities
Mkuu utakosa nafasi hivi hivii
Get over it still ni mwanamke you can have her.
 
Mmhh sidhani kama kuna Mwanamke anaweza kumkubali me asiye na kitu. Halafu awe pia sura yake ni tia maji tia maji
Hapo unafeli kijana, warembo wengi tu wanaolewa na watu wa kawaida mnp mbona, acha wale wanaoliwa na watu wa hovyo hovyo sasa.
 
Kitu cha kwanza kunikata sitimu nisitishe ni harufu. Napo kutana na mwanamke mara ya kwanza uwa natafuta harufu yake asilia, hata awe amepuliza pafyumu, pua zangu hunusa na kung'amua harufu yake. Nikikuta si nzuri hanioni tena. usafi ni muhimu si lazima ajipodoe, awe natural!
 
Asanteni kwa uwakilishi mzuri kwa niaba ya Men wengine thanks. Mimi kwa ziada najali Sana utu na ukarimu maana jeuri Maringo na dharau hapana, muonekano Wa pesa,gari,cheo siogopi kbsa, wenye maurembo ya ziada Sana hao nawala kinafiki kukidhi genye zangu
 
Asanteni kwa uwakilishi mzuri kwa niaba ya Men wengine thanks. Mimi kwa ziada najali Sana utu na ukarimu maana jeuri Maringo na dharau hapana, muonekano Wa pesa,gari,cheo siogopi kbsa, wenye maurembo ya ziada Sana hao nawala kinafiki kukidhi genye zangu
Vizuri
 
Back
Top Bottom