Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Aaah thubutuuu! Tumewagonga sana tukiwa vyuoni hao, tena kwa mihogo na tambi tu. Katika mademu cheap kuwala chuoni ni hao, na mpaka sasa nawala mno, they're very cheap! Nani kasema hawana nyege mshindo? Abadilishe kauli yake!
Aiseeee kumbe[emoji22][emoji22]
 
Huwa naangalia kinywa, mdomoni pakoje. Kama naona yanga nakimbia umbali mrefu sana
 
Ili liwe fundisho kwa wanawake wenye kutoboa pua na kujaza vipin na masikio kutobo vitobo vingi na kujichora tatoo na kuvah vah vikuku vinawapotezea sifa ya kuolewa au kutamaniwa na wanaume mtaliwa na kuachwa tu na kuwa masingle mama 4rever

Leo nilikuepo hapa kibo akaja mwanamke mmoja akanza shobo ooh Mr goroko vipii nikaona huyu kajichora matatu tayar kawa disqualified Moja kwa moja
Kweli mwaya me ni Ke but hivi vitu vinatuponza sn jinsia ya kike hajui tuu au wengin hujua ila uchukulia poa baadae wanataka kutulia ila muda nao si rafiki wanjikuta wamechelewa na wanabaki na majuto sababu waliyo yafanya hayafutiki kama tattoo!!!

Binasfi sipend kucha ndefu na hata nikijarbu kufuga najikuta sipo comfortable lkn inskuwa kwa mbinde sababu nilain zinakatika!! Vpin ndo doh! Ni mwoga kutobolewa tobolewa. Kwahiyo wanawke /jinsia ya kike tujitathimin nn tunataka kwenye safar yetu ya maisha kama kuja kuishi na wenza au la!!sababu kama ndivyo kuna namna ya kujiweka na kuishi lifestyle Fulani ambayo italeta picha na mvuto kwa men mwenye malengo ya kuanzisha familia (si kuigiza akubali kutoka moyoni sababu kwenye ndoa hakuna maigizo asiigize ili kumnasa mwanaume wa kuoa) sababu mwanaume Hata aweje hawez kukubal watt wake wazaliwe na mama wa hovyo!!
 
Kweli mwaya me ni Ke but hivi vitu vinatuponza sn jinsia ya kike hajui tuu au wengin hujua ila uchukulia poa baadae wanataka kutumia ila muda nao si rafiki wanjikuta wamechelewa na wanabaki na majuto sababu waliyo yafanya hayafutiki kama tattoo!!!

Binasfi sipend kucha ndefu na hata nikijarbu kufuga najikuta sipo comfortable lkn inskuwa kwa mbinde sababu nilain zinakatika!! Vpin ndo doh! Ni mwoga kutobolewa tobolewa. Kwahiyo wanawke /jinsia ya kike tujitathimin nn tunataka kwenye safar yetu ya maisha kama kuja kuishi na wenza au la!!(sababu kama ndivyo kuna namna ya kujiweka na kuishi lifestyle Fulani ambayo italeta picha na mvuto kwa men mwenye malengo ya kuanzisha familia) sababu mwanaume Hata aweje hawez kukubal watt wake wazaliwe na mama wa hovyo!!
Dont be a pick me...
 
Kweli mwaya me ni Ke but hivi vitu vinatuponza sn jinsia ya kike hajui tuu au wengin hujua ila uchukulia poa baadae wanataka kutulia ila muda nao si rafiki wanjikuta wamechelewa na wanabaki na majuto sababu waliyo yafanya hayafutiki kama tattoo!!!

Binasfi sipend kucha ndefu na hata nikijarbu kufuga najikuta sipo comfortable lkn inskuwa kwa mbinde sababu nilain zinakatika!! Vpin ndo doh! Ni mwoga kutobolewa tobolewa. Kwahiyo wanawke /jinsia ya kike tujitathimin nn tunataka kwenye safar yetu ya maisha kama kuja kuishi na wenza au la!!sababu kama ndivyo kuna namna ya kujiweka na kuishi lifestyle Fulani ambayo italeta picha na mvuto kwa men mwenye malengo ya kuanzisha familia (si kuigiza akubali kutoka moyoni sababu kwenye ndoa hakuna maigizo asiigize ili kumnasa mwanaume wa kuoa) sababu mwanaume Hata aweje hawez kukubal watt wake wazaliwe na mama wa hovyo!!
We ndo unajitambua sasa! (Naomba no yko na anwani ya wazaz!!) Yan unakuta mwanamke anawaza kuolewa lakin mikucha km jini, mikope kama wiper, pua, mdomo,ulimi katoboa kama wa Apocalypto, kichwan kajihujum na minywere ya marehen had ananuka na kujikuna kuna, mkorogo umeshamuunguza, uvaaj kama kasusa mwili wake halali! Yan wasichojua wanawake weng ni kuwa mwanaume ANAYEJITAMBUA anajua kuoanisha mwonekano na akili. Ndo mana weng huishia kutumika tuuuu wasijue wanakwama wap.
 
Kunuka mdomo! Yaani ile anajibu tu salamu yako, hiyo harufu ya kinywa si ya nchi hii. Hapo mambo yote yanaharibika. Kiukweli mwanamke kunuka mdomo inatisha sana, bora tunuke sie!
 
Mi sijafika level ya kuchagua zaidi ya usafi tu. Kwa sasa nilipo yeyote atachezea bakora
😂😂😂😂😂😂wewe ni mkulima!maana wengine wanachagua majembe humu ndani
 
😂😂😂😂😂😂wewe ni mkulima!maana wengine wanachagua majembe humu ndani
Maswali ya msingi ni mawili

Ni msafi?

Anataka?

Kama yote jibu ni ndiyo basi moto unawashwa tu
 
Ninapouliza swali halafu atoe majibu nusunusu wakati swali linahitaji maelezo kidogo, huwa inanikata sana. Au awe anatoa harufu mbaya sana ya kinywa, inakata mnooo.
 
😂😂😂😂Mchuzi wa mbwa unanywewa ungali wa moto...... ukila mzigo hutotoa hiyo hela
Unaogopa kuwa nikila mzigo sitatoa hela, kwasababu focus yako haiko kwangu, ila focus yako iko kwenye pochi yangu.

Mm sio bahili wala mchoyo, kama nina hela, mwanamke wangu akiwa na shida, hata laki au million nampa, as long as najua huyo mdada ana hisia na mimi, na hayuko na mm kwasababu anategemea nitampa hela Joannah
 
Back
Top Bottom