Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

Hapa kwetu Njombe Mwez wa kumi na mbil mwaka 2021 nlikutana na binti flani ambaye kwa macho yangu namuona mzuri Sana, nlimuelewa sana yule dada. Alikuwa anapita sana kwenye kachochoro ambako ndipo ofisi yangu ilipo.

Basi ikawa kila akipita namuangalia sana naishia kusema kesho ntamsimamisha ila akipita tena napata uoga. Sasa wiki iliyopita nikawa nimejipanga kabisa kwamba leo lazima nimsimamishe hata niongee nae kidogo, Ile nimekaa sina hili wala lile mtoto huyo namuona anakuja, basi mwanaume nikajitosa nkamuita.

Dada wa watu akasimama nikasogea taratibu, sasa hapa ndo tatizo lilipoanzia,Nilipokuwa namkaribia nilishtuka sana, alikuwa ameshika cm mkono mmoja af mwingn kashika pochi, sasa nilipokuwa nampa mkono tusalimiane.. alinipa ule mkono wenye cm kumbe kwenye kidole kimoja alikuwa kaingiza ile ring ya funguo ambazo zilikuwa zimekaa kwa nyuma ya kiganja, mm nikawa naona cm tuu kumbe mtoto mkono huohuo kaning'iniza funguo za ndinga na remote ya BMW.

Kiukwel nlipoziona nilishtuka sana, mistari yote niloipanga kichwani ikayeyuka. Mwanaume nikakosa point kwa sababu nlianza kupata hofu kwamba mtu huyu sikumdhania kama anaweza kuwa na pesa ivoo. Nliona nimeparamia sehem sio level yangu

Nliishia kumwambia samahan sister nmekufananisha na dada mmoja huwa anapita sana hapa. Saivi huwa anapita ananipa hai mana nipo kwenye kabanda flan kana geti tuu so kila anapopita lazma tuonane.

Zile hisia za kumpenda zilishakata asee
Kungekuwa na chance ya kutuma risas humu jf ningeanza na ww [emoji1787] mwanaume ukishaamua kwenda nenda mambo ya ohhh sijui nn bmw we tongoza tu kwan kukataliwa shi ngap tena kwa taarifa yako ungekuwa unagongea humo humo kwny bm
 
Ili liwe fundisho kwa wanawake wenye kutoboa pua na kujaza vipin na masikio kutobo vitobo vingi na kujichora tatoo na kuvah vah vikuku vinawapotezea sifa ya kuolewa au kutamaniwa na wanaume mtaliwa na kuachwa tu na kuwa masingle mama 4rever

Leo nilikuepo hapa kibo akaja mwanamke mmoja akanza shobo ooh Mr goroko vipii nikaona huyu kajichora matatu tayar kawa disqualified Moja kwa moja
 
Mnamo mwaka 1941 kueleke 42 Japan iliishambulia Marekani. Ilkuwa ni kipindi cha vita ya pili ya dunia WWII na Marekani katika vita iyo hakutaka kushiriki yaani hakuwa na upande.

Shambulio la Japan kwake lilimshangaza ila akasema lazima nilipe. Marekani kama ujuavyo alijibu mapigo akazamisha meli za kivita za Japan had Japan kakubali kuretreat. Kamanda wa Japan aliyekuw anaongoz vikosi alikubali kuretreat akisema "This war Is Lost.

I can't fight for pride. I'll be sending my men to hell" Yaani hawez endelea kupigana kwa ajili ya majivuni ya mda wakati uo akiwapeleka vijana wake kuzimu. Akaretreat.

Sometimes mwanaume kuretreat ukajipange upya ni sifa ya kivita. Sio kila vita unayopigana lazima ushide. Zipo utazoona hapa sina mbinu, retreat ukajipange upya. Nakupongeza kwa kupima na kujua maamuzi sahh... nyama bado n nying endelea kula kwa ukalj wa kisu chako[emoji123][emoji123][emoji123]
marekan ww2 ilimuhus sana alikua patner wa britain na britain alikua mpiganaj mkubwa na germany na germany italy na japan walikua patner pia ndioman mjapan akashambulia tafta documentary inaitwa pearl harbour utaelewa
 
Unatafuta ugomvi na Wachaga ww

Sema kuna ile unakuta demu mkali ila anakuambia anatoka Tandahimba uko sijui Mtwara. Dah! Inauma sana
Product za kaskazin jaman ni bomba sana na wasafi na wanajitambua. Ila hako katabia ka kudedishana dah! Na vya kufa vimo!
 
Hapa kwetu Njombe Mwez wa kumi na mbil mwaka 2021 nlikutana na binti flani ambaye kwa macho yangu namuona mzuri Sana, nlimuelewa sana yule dada. Alikuwa anapita sana kwenye kachochoro ambako ndipo ofisi yangu ilipo.

Basi ikawa kila akipita namuangalia sana naishia kusema kesho ntamsimamisha ila akipita tena napata uoga. Sasa wiki iliyopita nikawa nimejipanga kabisa kwamba leo lazima nimsimamishe hata niongee nae kidogo, Ile nimekaa sina hili wala lile mtoto huyo namuona anakuja, basi mwanaume nikajitosa nkamuita.

Dada wa watu akasimama nikasogea taratibu, sasa hapa ndo tatizo lilipoanzia,Nilipokuwa namkaribia nilishtuka sana, alikuwa ameshika cm mkono mmoja af mwingn kashika pochi, sasa nilipokuwa nampa mkono tusalimiane.. alinipa ule mkono wenye cm kumbe kwenye kidole kimoja alikuwa kaingiza ile ring ya funguo ambazo zilikuwa zimekaa kwa nyuma ya kiganja, mm nikawa naona cm tuu kumbe mtoto mkono huohuo kaning'iniza funguo za ndinga na remote ya BMW.

Kiukwel nlipoziona nilishtuka sana, mistari yote niloipanga kichwani ikayeyuka. Mwanaume nikakosa point kwa sababu nlianza kupata hofu kwamba mtu huyu sikumdhania kama anaweza kuwa na pesa ivoo. Nliona nimeparamia sehem sio level yangu

Nliishia kumwambia samahan sister nmekufananisha na dada mmoja huwa anapita sana hapa. Saivi huwa anapita ananipa hai mana nipo kwenye kabanda flan kana geti tuu so kila anapopita lazma tuonane.

Zile hisia za kumpenda zilishakata asee
yaani wewe unatiswa na ka bmw? na akiwa na private jet?si utapata heart attack mkuu
 
Msichana anayeomba hela ndefu kabla ya kuliwa, aliyetoboa poa, aliyepaka wanja nyekundu kama ndege wa porini, Mwanamke anayepost lundo la status daily,....,na msichana anayepretend kuwa na maisha ya juu kumbe......,STIMU ZINAISHAGA KABISA....
Habari Wanaume Wa JF

Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu hakijamvutia kwa mwanamke.

Achana na maumbile tunaongelea yale mambo wanayojiongezea au kuyapunguza

Mfano: Mm katika harakati za kutongoza huwa nakatishwa motisha na wanawake weny kucha bandia( yale makucha marefu). Yaani namuona huyu sio msafi... hatandiki kitanda akiamka (obvious atakuw na kijeba kinatandika kila morning) hafui ata nguo za ndan,kaz ndgo ndgo home hafanyi, hajisafishi kule, nk

Wewe kitu gan hukuondolea stimu za kufukuzia demu?
 
Ukiona demu anandika"xaxa" wala wewe isikusumbue vaa condom mbili mpigo then piga mashine hadi anasahau na jina lake la ubatizo alah
[emoji23][emoji23][emoji23]demu anayechat ivyo n turn off aisee. Halaf unakuta anakujibu kwa neno moja wakat umeuliz swali la kidadisi linalohtaji maelezo kdgo
 
Hahahaha njoo Kawe unitunuku basi
Sio wanawake tu, ata wanaume wanaoandika ivyo 'xaxa' badala ya 'sasa'...
"P" badala ya "poa".... "Niaje" badala ya " habari yako". Wanaboa sana
Huwa wananikata stimu kabisa, ata nikawa na Nia kweli ya kumtunukia nakatisha maongezi.
 
Haaahaaahaahaa
Kungekuwa na chance ya kutuma risas humu jf ningeanza na ww [emoji1787] mwanaume ukishaamua kwenda nenda mambo ya ohhh sijui nn bmw we tongoza tu kwan kukataliwa shi ngap tena kwa taarifa yako ungekuwa unagongea humo humo kwny bm
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kaka we unatongoza mwanamke wa kugonga tuu unaanza consider mambo ya kicha ndefu na uchafu as long as kwa wakati huo Yuko msafi we fanya yako kula tembea UNLESS unataka ufanye nae maisha
 
Back
Top Bottom