Ni kitu gani kizuri umewahi kufanyiwa na kimeacha alama katika maisha Yako?

Ni kitu gani kizuri umewahi kufanyiwa na kimeacha alama katika maisha Yako?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
7,450
Reaction score
19,184
Mara nyingi watu hukumbuka mabaya tu waliyopitia au kufanyiwa katika maisha Yao na watu mbalimbali.

Lakini leo ningependa tujue mambo mazuri ambayo watu wamefanyiwa na yameacha alama katika maisha Yao.

Pengine watu waliozea kuwafanyia watu mabaya watajifunza kitu.

Karibuni watu wangu wa Nguvu.
 
20241012_143143.jpg
 
Yapo mengi sana mazuri upekee ni kwamba yote nimefanyiwa na mtu huyohuyo mmoja.
Ashukuriwe sana maana Dunia ya Sasa hivi mtu kukutendea mema ni nadra sana
 
Mara nyingi watu hukumbuka mabaya tu waliyopitia au kufanyiwa katika maisha Yao na watu mbalimbali.

Lakini Leo ningependa tujue mambo mazuri ambayo watu wamefanyiwa na yameacha alama katika maisha Yao.

Pengine watu waliozea kuwafanyia watu mabaya watajifunza kitu.
Karibuni watu wangu wa Nguvu.
Nilishawahi kukuandikia humu mwaka jana, kwangu ni binti alikua anaitwa Mariam, alikua junior kazini na akaacha kazi ya ofisini na kuja kunisaidia kulea mtoto wangu wa kwanza kwa sababu nilikua nina hofu ya kumuacha na dada wa kazi.

Alinionyesha wema wa ajabu, mpaka leo ninamkumbuka sana, bahati mbaya tumepotezana kwa zaidi ya miaka 10, sijui alipo 😔.
 
Back
Top Bottom