The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mkuu,lengo la huu uzi ni watu kuweka shuhuda zao kwa yale waliyofanyiwa na wengine na sio kwa yale waliyo yafanya wao kwa wengine,ila binadamu ni kiumbe mbinafsi sana
yeye muda wote anawaza kutendewa this kutendewa that
kupendwa
kusikilizwa
kuthaminiwa
kujaliwa
kuthaminiwa
hakuna popote anakoweka uwekezaji wa kuwafanyia hayo wengine. very hopeless being
Hizo ni mada mbili tofauti kabisa.