Nilishawahi kukuandikia humu mwaka jana, kwangu ni binti alikua anaitwa Mariam, alikua junior kazini na akaacha kazi ya ofisini na kuja kunisaidia kulea mtoto wangu wa kwanza kwa sababu nilikua nina hofu ya kumuacha na dada wa kazi.Mara nyingi watu hukumbuka mabaya tu waliyopitia au kufanyiwa katika maisha Yao na watu mbalimbali.
Lakini Leo ningependa tujue mambo mazuri ambayo watu wamefanyiwa na yameacha alama katika maisha Yao.
Pengine watu waliozea kuwafanyia watu mabaya watajifunza kitu.
Karibuni watu wangu wa Nguvu.