Mkuu,lengo la huu uzi ni watu kuweka shuhuda zao kwa yale waliyofanyiwa na wengine na sio kwa yale waliyo yafanya wao kwa wengine,
Hizo ni mada mbili tofauti kabisa.