Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
843
Reaction score
1,630
Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!

Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
 
Kifeni.
Yaani kuliko sasa hivi nikatoka bila kifeni changu bora nisiende sio kwa joto hili
B9C1AC99-C34C-4FF6-BD9B-0C9D14156CD3.jpeg
 
Back
Top Bottom