Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!

Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
Ubongo. Huu nikiusahau sehemu lazima niurudie. Ila nashangaa kuna viongozi wakubwa kabisa hawana na wanadunda tu.
 
Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!

Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
Mbupu....
 
Kiswaswadu, bila hii sina maishaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!

Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
Simu yangu
 
Back
Top Bottom