Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Chaja ya simu aisee nikikuazima afu ukakausha kunirudishia afu niisahau nikija kukumbuka lazima niifate tu, au nikiisahau maskani ntairudia japokua simu yangu inakaa na chaji more than 10hrs ila najihisi amani kua na chaja karibu... Another thing though might be something stupid kwa baadhi ya watu but for me naona nikisahau ni jau ni earphones 🎧 😂
earphone muhimu bwanaa
 
Me hua naachaga sirudi,,, sometimes hua nasahau simu watu wananiambiaga nafanya makusudi....
Inabidi nianze kujichunguza kwa ukaribu sikuizi
Basi ujue haina umuhimu kwako ungekuwa unashau vitu kama miwani, funguo za ofisi, nk hapo hata uwe umetembea na umbaligani utarudi tu
 
Kinauzwaje hiki afsa?
mwanaume ukitembea na hico kifeni inakuwa vichekesho


1708759587944.png
 
Back
Top Bottom