Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
- Thread starter
- #121
ukitaka kufaidi kuwa hodler hasa bitcoin ni very bullishIle kuifanya direct yenyewe naona itakua ngumu ila nataka niwe wakala mkinunua na kuuza nipate commission, pia mkifanya deposit na withdrawal na mm Nile....Kuna jamaa alinielekeza ila alinishaur at least nijaribu kufanya kidogo