Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!
Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi ; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
Kumuomba nyonyo ninyonye.
 
Kwa wale wanaotegemea miwani kuona vizuri au kusoma ni vigumu sana kwenda mbali bila kuibeba hasa ikitiliwa maanani siku hizi simu zinatumika kwa mambo mengi.
Upo sahihi nikitoka tuu umbali flani naona kabisa sioni vizuri. Lazima nirudi kufata miwani.
 
crypto na forex ni mtu na pacha wake crypto dealers wengi ni FX trader
Ile kuifanya direct yenyewe naona itakua ngumu ila nataka niwe wakala mkinunua na kuuza nipate commission, pia mkifanya deposit na withdrawal na mm Nile....Kuna jamaa alinielekeza ila alinishaur at least nijaribu kufanya kidogo
 
Back
Top Bottom