lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 481
- 1,318
tz tatizo nini?eeeeh kaka we wa nchi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tz tatizo nini?eeeeh kaka we wa nchi gani?
nakuelewa mkuuEwaaah mkaka wa chuo...
Ila kazi kazi,
Na hivo ni vitu vyangu muhimu kila napoenda.
🤣🤣🤣🤣Washa Tv sheikh tuangalie kandanda safi😂😂😂😂😂😂
Ringo sabufa..
Ndo nacho maanisha mkuu 🙌🙌🙌
Kusemaje bila miwani hutoboi kabisaKuna ile umeamka paaap late ushaoga ushavaa upo nje ndio unashaa mbona vitu vinaonekana vidogooo mara brurry aaaah ndio unakumbuka glasses
Futa hii komenti kabla Mwa J hajatimba mbwa yule, maana anachama kuliko left hand..🙄🤣🤣🤣Nikishapokea saa yangu ndio nitasema kingine
nimeuliza tu mkuutz tatizo nini?
Kasoro dakika 6 tuu nione watu wanakandwa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣Washa Tv sheikh tuangalie kandanda safi
Wee ni wa kumix tuu 😂😂😂😂Rozali, mapepo ni mengi sana
Karibu sanaNmefika Kuna nn tena
Nini kipimo cha masikini na tajiri kwani...??jf inamasikini kibao.waleti yakazi gani sasa?kwamba helazenu zinaenda humo?
crypto na forex ni mtu na pacha wake crypto dealers wengi ni FX trader🤔🤔🤔 Sema nipo interested Sana na mambo ya crypto
jambazi polisi?siwezi kwenda job bila mguu wangu wamtoto kiunoni.
kipimo chaumasikini ni kama akili zako hizoNini kipimo cha masikini na tajiri kwani...??
🤣🤣🤣NammuduFuta hii komenti kabla Mwa J hajatimba mbwa yule, maana anachama kuliko left hand..🙄
Nawazoom watani🤣na takeaway yangu ya Pepsi nasubir kabumbu lianzeKasoro dakika 6 tuu nione watu wanakandwa 😂😂😂😂😂
*"Mguu wa mtoto, anaupaka asali ""siwezi kwenda job bila mguu wangu wamtoto kiunoni.
Hutoamini 😂😂😂😂😂😂Nawazoom watani🤣na takeaway yangu ya Pepsi nasubir kabumbu lianze