Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

umetisha umetisha, itabidi tuangalie mpango wa kutengeneza vi AC ambavyo ni mobile and portable
nikifika ofisini natupia kama haka kwenye meza kazi zinaendelea. Sitaki shida kabisa😂
E850A2AB-B13D-488D-8AA0-3A1F5BD50695.jpeg
 
Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!
Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi ; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
Wewe ni mimi kabisa Mkuu
 
Back
Top Bottom