Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

Nimesoma comments zote, leo ndo nimegundua mimi sio binadamu wa kawaida haki ya MunguπŸ€”πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!

Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
Vipimo na Condom, huwezi jua
 
Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!

Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala.

Mimi; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
Chaja ya simu aisee nikikuazima afu ukakausha kunirudishia afu niisahau nikija kukumbuka lazima niifate tu, au nikiisahau maskani ntairudia japokua simu yangu inakaa na chaji more than 10hrs ila najihisi amani kua na chaja karibu... Another thing though might be something stupid kwa baadhi ya watu but for me naona nikisahau ni jau ni earphones 🎧 πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom