sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Zamani nilikuwa na tabia sugu ya kupiga punyeto, haikupita siku bila kustua, hii ilinifanya nimtajirishe mangi flani ana duka kila baada ya siku 10 ilinibidi ninunue mafuta ya mgando ya elf 2 ya vaseline.
Yani kila nikiona panawasha tu (nyege) nitaanza kujitetea sisi binadamu ni dhaifu sana, palipoumbwa kuwasha inabidi pakunwe, n.k bila kujijua nimeshakuwa mraibu.
Sasa nilipokuwa nikimaliza hii shughuli kiukweli nlikuwa naumia sama moyoni kwa kitu nlichomaliza kukifanya, nilikuwa naanza kujilaumu acha tu, ila kesho yake kama kawa gari likiwaka narudi upya.
Siku moja wakati napitapita internet, nikaona maada inayohusu kutunza mbegu bila kuzimwaga kwa kujamiana au kupiga nyeto.
Nlivyofatilia niliona ni kitu kizuri, kiukweli wiki 2 za mwanzo zilikuwa na fujo sana, yani kila muda akili inawaza kukata kiu mithili ya mvuta sigara aliekosa sigara siku nzima.
Baada ya wiki 2 kupita hizo fujo ziliniisha kabisa nikaweza kukaa siku 150 bila kumwaga mbegu, Niliota ndoto nyevu kadhaa ila hizo hazikuhesabika.
Kiukweli nilipata faida nyingi sana ikiwemo kuondokana na uraibu wa punyeto, nliacha kuangalia x, Sauti ilikuwa nzito ya kuvutia, nilianza kutunza kumbukumbu vizuri, kuamka bila uchovu, Confidence mbele ya mabinti uliongezeka iliyowavutia, n.k
Mpaka leo sijawahi kufikiria kupiga haya mambo