sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Mkuu, tunza hio mbegu, Mbegu ni kitu chenye thamani sana aisee, Shetani kwa kulijua hili kanogesha sana mbinu za kutoa toa hovyo hizo mbegu mfano kwa punyeto, michepuko, kujenga ufahari kwa mtu anaepiga vitatu kila siku, n.k.Hongera mkuu, nyeto inatuumiza Sana vijana,
Labda tupe ushauri namna ulivyojifunza na kuweza kumaliza vema kupiga nyeto, tupe ujuzi
Mkuu, hilo zoezi la kutunza mbegu kwa siku 100 ni sawa na ku restart computer ambayo imetumika wiki mfululizo bila kuizima, ni kama unapiga window au kuflash simu ambayo imejaa vitu vingi na simu kuwa nzito.Kwa hiyo umeoa na unampa dozi ya ukweli mkeo maana wanasema wapiga nyeto hawawezi kutoa dozi ya kueleweka?
Tupe ufafanuzi unakula papuchi kwa ustadi au kimoja au viwili tu chali.
Mkuu ni enzi hizo nipo na miaka 13 nilianza huu mchezo, tulifundishana huko shuleni na pia yale majarida ya Femina yaliyoandika kwamba punyeto ni salama yalitupa morali.Ulijinyetua kwa mda gan? Ulichakata papuchi+ nyeto kwa wakati mmoja au ulibase kwenye nyeto pekee? Baada ya kuacha nyeto ulichukua mda gan mpaka kuanza kula papuch? Show ilikuaje? Ulijitibu vipi madhara ya nyeto kama yalikupata. NYETO NI HATARI KWA AFYA YA MWILI NA AKILI+ROHO, HATUKUUMBWA KWA AJILI YA NYETO.
Naunga mkono hojaKununua malaya
Sijui kwann inakua hiviNaunga mkono hoja
Hizo siku zinatofautiana kulingana ma mtu, mimi confidence ilianza kuja kwa fujo baada ya wiki 2, yani nilianza kujiamini sanaView attachment 1987192
hatua za Kuanza kutunza Mbegu na mabadiliko yake..
sky soldier Instagram kuna jamaa wanajiita Nofappers... Umeshawai kuwafuatilia
Hio nayo ni addiction nyengineKununua malaya
Thank you Brother.. .Hizo siku zinatofautiana kulingana ma mtu, mimi confidence ilianza kuja kwa fujo baada ya wiki 2, yani nilianza kujiamini sana,
Ila yote kwa yote Ni kitu kizuri sana, Hii mbegu ni kitu chenye thamani sana, unavyoimwaga unamwaga vitu kibao mpaka vinavyopunguza umakini, kumbukumbu, nguvu, akili, n.k ndio maana kwa weznetu huko mchezaji akipatikana kamwaga bao siku 2 kabla ya mechi anaweza kutolewa kikosini, nakumbuka ilitokea kombe la dunia hii kwa timu ya misri mchezaji alipokutwa anajichua alitolewa.
Kazi ipo kwa wanao dhani kupiga bao tatu ndio heshima bila kujua kwamba ni matatizo,
Siku ambazo wife au dem wako yupo period, na wewe chukulia ni siku za kupumzika uone kama show zako zitakuwa za kizembe ukirudi uwanjani.
HOLD THAT SEED BROTHER!!
Danganya Umati MkuuVijana Msiache Nyeto! Mtajutia!
Magazeti ya femina inabidi yafunguliwe kesi mahakamani kwa kuharibu vijana wengi wa enzi za miaka ya 2000s walioaminishwa kwamba wapige punyeto kwa afyaDanganya Umati Mkuu
Safi kijana, inahitajika nguvu kubwa sana ya akili kufanikisha kuacha puchu, bila kupatwa na aibu ya kupoteza mechi huwezi acha kujichua Tena usiombe uwe domo zege ndo kabisa akili itachoka unakua upo upo tu Kama zoba.Mkuu ni enzi hizo nipo na miaka 13 nilianza huu mchezo, tulifundishana huko shuleni na pia yale majarida ya Femina yaliyoandika kwamba punyeto ni salama yalitupa morali.
Kiukweli nilipoanza kuchakata nikiwa na 17 huku nikiwa bado mraibu perfomance yangu ilikuwa sio poa, nilipofika 23 ndipo nilipo kaa hizo siku 150 mabadiliko yalikuwa mengi sana kimwili na kiakili, ni kama niliji restart, baada ya hizo siku niliingia kwenye mahusiano ya wiki [emoji23][emoji23] show show, hii ilinipa moyo nikasema wacha nikae tena siku 150 bila kumwaga maana niliona faida ila safari iliishia siku ya 134 baada ya binti flani kuniona basha ikabidi nilinde heshima,
Kiufupi nyeto inakuharibu sana akili na kuharibu perfomance za show, ondoa jeraha lake la kisaikolojia kwa kukaa hata miezi 4 bila kumwaga, bila hivyo uta suffer sana, usije jidanganya utatibu madhara yake kwa kuhamia kwa wanawake bila kuji restart.
Laiti ningerudi kuwa mdogo, basi nisingefanya huu ujinga wa nyeto
Too much is harmful, ukizidisha sana chochote kile hii huwa ni hatari. Nako ukikaa na nyege muda mrefu sana bila kuzipunguza au kumwaga kuna athari zake.Mkuu, hilo zoezi la kutunza mbegu kwa siku 100 ni sawa na ku restart computer ambayo imetumika wiki mfululizo bila kuizima, ni kama unapiga window au kuflash simu ambayo imejaa vitu vingi na simu kuwa nzito.
wapiga nyeto wengi wanamwaga kwa kutumia akili nyingi sana kuwaza wapo na mwanamke ambae kiuhalisia hayupo pamoja na kuudanganya uume kwamba unasugua uke kumbe ni kiganja, hii imeharibu sana system nzima, kwa hio mtu asipoji restart kwa siku walau hizo 100 yeye akaunga kwenda kwa wanawake bado hilo tatizo litamsumbua sana, wengi wanawahi kumwaga wakikutana na mwanamke ila wakijipiga selfie wanachelewa, hapa akili inakua imetibuka, Pia wapo wengine hawasimamishi fresh wakiwa na mwanamke ila wakiwa peke yao wakijipa huduma kivyao mnara unasimama 4g, hili pia ni tatizo la kiakili, inabidi u reatart system hapo
Nashauri mtu ambae kapiga sana punyeto akae hata miezi 6 kujiweka sawa bila kupiga nyeto au kulala na mwanamke, wiki 2 za kwanza huwa no ngumu ila baada ya hapo ni tambarare, akili itaanza kujirudi pale kuanzia mwezi wa pili utaanza kuota ndoto nyevu, misuli iliyosinyaa itaanza kujaa, uume ulioingia ndani utaanza kujitokeza, n.k hii ni dalili kwamba mwili unajirudi kwenye ukawaida.
Binafsi show napiga fresh tu ila show zangu hazikuwa poa kipindi nikiwa mraibu wa nyeto
Udomo zege unasababishwa kwa kiasi kikubwa mtu anapoona hata asipokua na dem anaweza kumaliza shughuli zake.Safi kijana, inahitajika nguvu kubwa sana ya akili kufanikisha kuacha puchu, bila kupatwa na aibu ya kupoteza mechi huwezi acha kujichua Tena usiombe uwe domo zege ndo kabisa akili itachoka unakua upo upo tu Kama zoba.
Sasa unakuta kijana betting inamchakaza huku punyeto inammaliza Daah![emoji19] mpaka huruma
Maisha yaendelee