The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mwezi wa 5 nilikuwepo hapo, kuna domitories njoss zilikuwa zinaitwa mabanda ya njiwa (ghorofa) nilizikuta zimeboreshwa SanaKaribu tena,,ulete na wanao
Halafu wewe binti nilikuwa nakutafuta sanaKunywa Pepsi baridi.
Ndoto yangu ilikua 4 kids so huyu ni wa mwisho, ila mtu Uzazi age ikiwa imeenda sana nayo changamotoApo sasa utulie kwakwel,,hao wa 4 wanatosha wasije wakakukosa,, uzazi wa sasa uheshimiwe sana, ukiona tu dalili mbaya jihadhari,,ila hongera na umalize safari na kujifungua salama,,Amina 🙏🏾
Kunywa pombe aisee natamani kuacha sana ila naweza kaa ata week 2 bila kunywa ila nikibaki mwenyewe ghetto siku mzima nikiboreka tu mawazo yananiijia kwenda kunywa najikuta nimekunywaNinakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje.
Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na huwezi amini hakuna mtu wa karibu anaejua ninavuta wala kunishuhudia naivuta, huwa naenda kuvutia sehemu za mbali watu hawanijui.
Nimejaribu mara kadhaa kuacha ikiwemo kupause kwa mwaka mzima ila ghafla nikarudi.
Nachojutia zaidi ni kwamba sigara hainilevi tena kama mwanzo, ninaivuta tu kwa mazoea lakini kuacha inakuwa ngumu.
NB: Kiwe ni kitu ambacho unatamani kukiacha, kama una enjoy hakihusiki
Unaeweka buti ya juu, chini, mashavuni ama wanusaGeji..
Ukiniona kazini huwezi dhania,, feel ashamed lakn ndo hivo ishakua mbaya
zote mkuu,,Unaeweka buti ya juu, chini, mashavuni ama wanusa
NakaziaBetting betting kama hujawahi kufanya hii kitu achana nayo ni kifungo huru chenye kila namna ya stress na mateso!
😂 ndo uache, oaNyeto mzee hata sijui alinifundisha nani
Mtaala wa nyeto ni mpana mnoo
Na madem km saba na sikomi huwa najisahaurisha tu hivi ww nyeto unaijua vzr mzee wng hii ni madawa ya kulevya😂 ndo uache, oa
Utaelezwa madhara na utafanyiwa counselling.kwa hiyo nikishatoka hapo nakuwa nimeweza kuacha?
Fanya maamuzi magumu mbona inaachika vizuri tu.Na madem km saba na sikomi huwa najisahaurisha tu hivi ww nyeto unaijua vzr mzee wng hii ni madawa ya kulevya