Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

Niliacha kunywa pepsi nikaanza kujisifu na kumpondea kila naemkuta anakunywa, sasa siku moja nikapata kiu nikasema nionje grande malt moja sahivi nakunywa kila siku 1 imechukua nafasi ile ya pepsi napambana nayo niiache pia kama pepsi.
yaan ww utoto tu !! nakufatilia mbwa ww😂😂😂sasa hiyo malta inakushinda utaweza mijadala kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…