Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Kipe roho mwili inapenda ck nikisikia ham ya kuvunja kishoka navunja dingi japo saiz na km miezi 5 kbsFanya maamuzi magumu mbona inaachika vizuri tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipe roho mwili inapenda ck nikisikia ham ya kuvunja kishoka navunja dingi japo saiz na km miezi 5 kbsFanya maamuzi magumu mbona inaachika vizuri tu.
Uliwahi semaga unatumia mjaniSina urahibu wowote labda kutumia JF ukiniambia nisiingie JF naweza kukushushia kipondo cha double kick maji utaita minze na minze utaita mma!
Sawa mkuuKipe roho mwili inapenda ck nikisikia ham ya kuvunja kishoka navunja dingi japo saiz na km miezi 5 kbs
Ni kwel,, ndoman hua wana shaur kuzaa mapema,ukichelewa sana changamotoNdoto yangu ilikua 4 kids so huyu ni wa mwisho, ila mtu Uzazi age ikiwa imeenda sana nayo changamoto
TajiriNi kwel,, ndoman hua wana shaur kuzaa mapema,ukichelewa sana changamoto
Haya sasa kumekucha,, unataka nitekwe nilazmishwe kutoa hela na sina kitu kabisaTajiri
Boss
Mkuu
Donii
35yrs iwe mwisho kuzaaNdoto yangu ilikua 4 kids so huyu ni wa mwisho, ila mtu Uzazi age ikiwa imeenda sana nayo changamoto
Utekwe na nanHaya sasa kumekucha,, unataka nitekwe nilazmishwe kutoa hela na sina kitu kabisa
watu wasiojulikana aseeeUtekwe na nan
Ni salamu tuwatu wasiojulikana aseee
Daaaah,,aya asante kwa kuniamsha kwa kishindoNi salamu tu
Hongera sabato ya jana ulichokaDaaaah,,aya asante kwa kuniamsha kwa kishindo
sijui wenye sabato yao,,mie nilkua shamba nkarud saa tatu usikuHongera sabato ya jana ulichoka
Dom shamba linatoka wapisijui wenye sabato yao,,mie nilkua shamba nkarud saa tatu usiku
unamimba ya kudumuKula udongo
yaan ww utoto tu !! nakufatilia mbwa ww😂😂😂sasa hiyo malta inakushinda utaweza mijadala kwelNiliacha kunywa pepsi nikaanza kujisifu na kumpondea kila naemkuta anakunywa, sasa siku moja nikapata kiu nikasema nionje grande malt moja sahivi nakunywa kila siku 1 imechukua nafasi ile ya pepsi napambana nayo niiache pia kama pepsi.