Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

👁️
 
Ndo maana umeadimika nkamu. Mungu na Akakusimamie katika jukumu la kutimiza wajibu huo mtakatifu wa uumbaji. IJN everything will be OK 🙏🏿
 
😂 ndo uache, oa
Kuoa si dawa... Ikishakuathiri, inachukua muda mrefu sana kuwa sawa. Wengine ndo basi tena.

Ni mbaya sana! Inamaliza nguvu za kiume, huwezi kushiriki tendo..., haisimami wima kishupavu kama mwanaume kamili na huwezi kumridhisha mwanamke. Hutoboi hata dakika 15. Mbaya sana punyeto!
 
kuonea vibarua wangu🤣🤣🤣nikitu chakijinga ila nashindwa kuacha nyie wapumbavu nishaurini
Una roho mbaya ya kishamba na kishetani bro... Haihitaji ushauri, hujielewi tu bro

Unaonesha sio mstaarabu, mshamba na mkorofi sana "eti nyie wapumbavu nishaurini basi"

Hivi unaishi vizuri hata na majirani, ndugu na waomba mungu wenzio huko vibaruani kwenu?!

Unaomba msaada alafu unaita watu "wapumbavu" dahh!

Itakutafuna na kukurudi siku moja. Hakuna binadamu aliye chini kimaisha akawa anaifurahia situation hiyo, jifunze kuwa mwema aidha unacho au huna kwa kila mtu. Una roho mbaya na ya kimasikini na ya kishamba sana! Huitaji ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…