Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La zabibuDom shamba linatoka wapi
MuongoLa zabibu
Ninamashaka na uwezo wako wa kufikiriyaan ww utoto tu !! nakufatilia mbwa ww😂😂😂sasa hiyo malta inakushinda utaweza mijadala kwel
👁️Ninakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje.
Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na huwezi amini hakuna mtu wa karibu anaejua ninavuta wala kunishuhudia naivuta, huwa naenda kuvutia sehemu za mbali watu hawanijui.
Nimejaribu mara kadhaa kuacha ikiwemo kupause kwa mwaka mzima ila ghafla nikarudi.
Nachojutia zaidi ni kwamba sigara hainilevi tena kama mwanzo, ninaivuta tu kwa mazoea lakini kuacha inakuwa ngumu.
NB: Kiwe ni kitu ambacho unatamani kukiacha, kama una enjoy hakihusiki
endelea kua na mashaka!Ninamashaka na uwezo wako wa kufikiri
usiseme nina kunyanyapaa LuchaNinamashaka na uwezo wako wa kufikiri
Ndo maana umeadimika nkamu. Mungu na Akakusimamie katika jukumu la kutimiza wajibu huo mtakatifu wa uumbaji. IJN everything will be OK 🙏🏿Mwanzo nilikua kama wewe napenda kuzaa, ila sijui umri mkubwa mimba ya mtoto wangu wa nne imejua kuninyoosha nikikaa nahisi kufa kufa…..mapigo ya moyo yananienda mbio tumbo zito yaani nimekoma🙌🏿🙌🏿🙌🏿sitaki tena hizi habari za kuzaa…natamani nijifungue hata kesho
nkuoneshe viganja vyangu vilivyo komaaMuongo
Hii kwangu ilikua zamani ila kwasasa Twitter ndo imenikamata.Sina urahibu wowote labda kutumia JF ukiniambia nisiingie JF naweza kukushushia kipondo cha double kick maji utaita minze na minze utaita mma!
🚮endelea kua na mashaka!
mi siwezi kufanya mijadala na mraibu
Waraibu wote ni wagonjwa wa akili…,
Mark my words
Lucha ana ugonjwa wa akili
hatimae umenipata,karibuHalafu wewe binti nilikuwa nakutafuta sana
Hujatulia wewe 😁😁😂Kuzaa aseee,,nko 26 yrs nna watoto 4 na nna mimba, nmeambiwa mapacha
Kiu 😂Wataalam mjue mtuambie inakuaje mtu anaweza kuacha pombe au sigara au addiction yoyote Kwa mda mrefu hata wa mwaka mzima ila Bado akaja kurudi licha ya kuwa ameweza kujizuia Kwa mda mrefu
Kuoa si dawa... Ikishakuathiri, inachukua muda mrefu sana kuwa sawa. Wengine ndo basi tena.😂 ndo uache, oa
Moja Kwa Moja MotoniMe mwaka 2007 nlijaribu kukosea njia( Kwa mpalange) kwa mdada wa kaz wa nyumban. Toka hapo had leo 2024 cjawah kuacha hko kitu. Nnatumia nguvu nyng kuacha lakn nnashindwa. Kila nkiona kinyesi moyo unashituka sana
Una roho mbaya ya kishamba na kishetani bro... Haihitaji ushauri, hujielewi tu brokuonea vibarua wangu🤣🤣🤣nikitu chakijinga ila nashindwa kuacha nyie wapumbavu nishaurini
Exactly!mishangazi...God has Created Mishangazi with an intense Care👌I'm addicted