Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

Ninakumbuka siku moja nilikuwa nipo nipo tu wala sina kampani, ghafla wazo likanijia nikanunue fegi nijaribu mara moja tu nione ikoje.

Kuanzia hapo mdogo mdogo nikaanza kupiga paf kila jioni na huwezi amini hakuna mtu wa karibu anaejua ninavuta wala kunishuhudia naivuta, huwa naenda kuvutia sehemu za mbali watu hawanijui.

Nimejaribu mara kadhaa kuacha ikiwemo kupause kwa mwaka mzima ila ghafla nikarudi.

Nachojutia zaidi ni kwamba sigara hainilevi tena kama mwanzo, ninaivuta tu kwa mazoea lakini kuacha inakuwa ngumu.

NB: Kiwe ni kitu ambacho unatamani kukiacha, kama una enjoy hakihusiki
👁️
 

Attachments

  • 0222FBFC-6515-4C25-8662-90A595280DBA.jpeg
    0222FBFC-6515-4C25-8662-90A595280DBA.jpeg
    264.3 KB · Views: 4
Mwanzo nilikua kama wewe napenda kuzaa, ila sijui umri mkubwa mimba ya mtoto wangu wa nne imejua kuninyoosha nikikaa nahisi kufa kufa…..mapigo ya moyo yananienda mbio tumbo zito yaani nimekoma🙌🏿🙌🏿🙌🏿sitaki tena hizi habari za kuzaa…natamani nijifungue hata kesho
Ndo maana umeadimika nkamu. Mungu na Akakusimamie katika jukumu la kutimiza wajibu huo mtakatifu wa uumbaji. IJN everything will be OK 🙏🏿
 
😂 ndo uache, oa
Kuoa si dawa... Ikishakuathiri, inachukua muda mrefu sana kuwa sawa. Wengine ndo basi tena.

Ni mbaya sana! Inamaliza nguvu za kiume, huwezi kushiriki tendo..., haisimami wima kishupavu kama mwanaume kamili na huwezi kumridhisha mwanamke. Hutoboi hata dakika 15. Mbaya sana punyeto!
 
kuonea vibarua wangu🤣🤣🤣nikitu chakijinga ila nashindwa kuacha nyie wapumbavu nishaurini
Una roho mbaya ya kishamba na kishetani bro... Haihitaji ushauri, hujielewi tu bro

Unaonesha sio mstaarabu, mshamba na mkorofi sana "eti nyie wapumbavu nishaurini basi"

Hivi unaishi vizuri hata na majirani, ndugu na waomba mungu wenzio huko vibaruani kwenu?!

Unaomba msaada alafu unaita watu "wapumbavu" dahh!

Itakutafuna na kukurudi siku moja. Hakuna binadamu aliye chini kimaisha akawa anaifurahia situation hiyo, jifunze kuwa mwema aidha unacho au huna kwa kila mtu. Una roho mbaya na ya kimasikini na ya kishamba sana! Huitaji ushauri.
 
Back
Top Bottom