Ni kitu gani ulipitia katika utafutaji kazi hutosahau?

Ni kitu gani ulipitia katika utafutaji kazi hutosahau?

Hizo experience inabidi mshare hapa wakuu wengine wanajifunza
Mwanamke anaweza sababisha uzembe kazini afu zigo likakuangukia wewe mwanaume.. kipindi nimemaliza chuo nikapata sehemu ya kujishikiza ili nitafute ajira ya kueleweka kwenye duka fulani la mpesa... sasa kuna lady aliletwa nisaidiane nayee... aisee hakuna vituko sikuona... mnafunga hesabu usiku kuna upungufu wa kama laki kadhaa... kumbe kale kademu kalikuwa kanaficha pesa kwenye namba yake ya simu ,, yaani anajitumia afu miamala anafuta.... we? . Siku nyingine akaja mteja anahitaji luku ya 3.9 million (ilikuwa ni umeme wa ofisi ya wizara fulani hapo Dom, ) , si akamnunulia huyo mteja umeme wa hiyo hela kwa kutumia zile POS za Nmb... kmmk na alishaambiwq umeme wa hela nyingi hivyo ni marufuku kununua akakaza fuvu akanunua... guess what...pesa ikakatwa na Token hazikuja.. ile pesa kuja kurudi ilichukua almost mwezi mzima.. halafu haya yote yakiendelea mwenye hiyo mpesa akaona mimi ni mzembe akanitoa... nikasema anyway maisha yataendelea tu... hako kademu hakikuwa kinaulizwa chochote owa sababu ni mtu na uncle wake(japo baadaye nlikuja kushtuka baada ya kuambiwa kumbe alikuwa anakakula hako kademu😬). Hapo ndipo nilijifunza in Hard way kuhusu kufanya kazi na hawa ladies
 
Tuambie changamoto ulizopitia ili tujifunze, je ulitoa pesa, ngono, uchawa, ulienda kwa mganga,au ulipitianini? Mimi bado natafuta job
Na degree zangu mbili nzito, nishawahi mara kadhaa kubeba viroba vya baharesa 12hrs non stop.
IMG-20250818-WA0000.jpg


Ila maisha haya ni fumbo kamwe TUSIKATE TAMAA wapambanaji.
 
Mwanamke anaweza sababisha uzembe kazini afu zigo likakuangukia wewe mwanaume.. kipindi nimemaliza chuo nikapata sehemu ya kujishikiza ili nitafute ajira ya kueleweka kwenye duka fulani la mpesa... sasa kuna lady aliletwa nisaidiane nayee... aisee hakuna vituko sikuona... mnafunga hesabu usiku kuna upungufu wa kama laki kadhaa... kumbe kale kademu kalikuwa kanaficha pesa kwenye namba yake ya simu ,, yaani anajitumia afu miamala anafuta.... we? . Siku nyingine akaja mteja anahitaji luku ya 3.9 million (ilikuwa ni umeme wa ofisi ya wizara fulani hapo Dom, ) , si akamnunulia huyo mteja umeme wa hiyo hela kwa kutumia zile POS za Nmb... kmmk na alishaambiwq umeme wa hela nyingi hivyo ni marufuku kununua akakaza fuvu akanunua... guess what...pesa ikakatwa na Token hazikuja.. ile pesa kuja kurudi ilichukua almost mwezi mzima.. halafu haya yote yakiendelea mwenye hiyo mpesa akaona mimi ni mzembe akanitoa... nikasema anyway maisha yataendelea tu... hako kademu hakikuwa kinaulizwa chochote owa sababu ni mtu na uncle wake(japo baadaye nlikuja kushtuka baada ya kuambiwa kumbe alikuwa anakakula hako kademu😬). Hapo ndipo nilijifunza in Hard way kuhusu kufanya kazi na hawa ladies
Dah pole sana mkuu
 
Ishukuriwe train yetu ya goms nishawahi kupanda nina jero na kesho sielewi.
Nikamwambia tu me mwenzako sina hela we kama unatak kunipitilza kituo nambie tu tena kwa sauti ya watu wa5 kusikia akasema nenda tu kwa Amani.
Hivi kwenye hiyo train huwa kuna konda.
 
Ujobless sio kitu poa ndugu zangu yaani nilizeeka hakuna rangi niliacha kuona masimango hatari.
Kila sehemu nilikuwa nikitafuta kazi nakosa hadi nikachoka.
Asubuhi nikawa naamka naenda kushinda kawe beach kupoteza muda hadi jioni ndio narudi getto.
Mbaya zaidi kwa stress nilizokuwa nazo nikampa binti wa watu mimba ambae ndio naishi nae hadi sasa hivi na huyo baby boy wangu.
 
Nilipata kazi Kwa wahindi fulani toka UG ******* wale.
Kazi ya kuhudumia, jamaa kila Chakula inarudi toka meza i unakabidhi pale.
Mgshawa ukifungwa nao wanaanza kula. Kila makombo toka Kwa wateja most wazungu.
Ole wako udokoe,
Kwenye tip tulishindwana, nimepewa dola 50 na familia moja nikatia mfukoni duh wameniona.
Ikawa toa hela mi ni big NO.
Wakataka kuleta ubabe kofi moja tu mtu kazima.
Nikakamatwa na wamasai kazi ikaisha.
Kesho narudi nikaambiwa siruhusiwi kuingia kazi.
Na barua nikaletewa getini.
Malipo? fwata wiki ijayo.
Ikabidi ubabe na vitisho utumike
Ndo wale masai Kwa woga wamweleza bosi wao kwamba huyu kasema atarudi usiku kufata hela yake, bora umpe tu uachane nae.
Ndo nikalipwa nikarudi kitaa.
Sio kila kazi za kukimbilia aisee
 
😂😂😂 ungetupa story kidogo tujue kuna nini kwa single mothers
Story zao zipo nyingi sana humu, wengi wao story zao zinafanana mana kesi zao nyingi zinafanana
 
daah!! Wakuu mimi baada ya changamoto nilizopitia kama mtakuwa mnakumbuka thread zangu.
Basi nlipata kazi kampuni moja ya utalii tena kubwa tuu pale ARUSHA, na ofisi niliyopangiwa kufanya kazi kulikuwa na wanawake tupu yaani kama 6 hivi so apo ofisini kuanzia asubuhi mpaka jion ni umbea tuu walkua wanapiga, Mimi nlikuwa kimya ata wakiniuliza mtizamo wangu kuhusu mada zao nlikuwa nikiwakataaa..

EBHANA EEH!! wakapanga yao, akaja mama mmoja namheshimu sana pale ofisini akaaninyookea direct kwamba anataka huduma ya ngono na tena ni kesho jioni kumbuka apo ananiambia ni asubuhi yaani ile nafika tuu kwa ofisi na alikuwa na mwenzake just akanyoosha maneno "Mambo vp (akataja jina langu)? kesho jioni nakuhitaji ukanito**e till I get high." then best yake "akasema unashangaa nini na wewe ndo adamu bustanini tena baada ya huyu ni mimi"

ALOOO hizokauli zilininyima raha siku nzima pale ndani yaani ilifika time namwangalia yule maza just alivyo nikijisemea moyoni yaani mtu vidole vya mguuni vimekaa kama kuku wa kienyeji kucha mbaya hivi, mtu anarangi tatu aah asee apana kuliko nile hii taka taka bora nichimbe shimo chini nichomeke ilaa hapa hapaana.

Kesho ilipofika nlishapanga langu kichwani, jion mida ya sa 10 tulipotoka akanchek tukasepa alipotaka yeye, huko tulipofika nlipanga huyu leo just namudhalilsha ivyo tuu. So tukiwa room akaanza kujibebisha just namwangalia nikamwalekeza beby girl come close and lem remove your clothes, after all nlimwambia just geuka, inama, tikisa makalio , chuchumaa, panua nione yaani nlikuwa naliona kama jinga kubwa, akadai em drop na wewe uje close to me.

Apo najiambia moyoni ushafanya ulichopanga so usiijaribu sumu kwa kuilmba. OYA nlimuelekeza ngoja niende kwa duka nikachukue snack moja huwa zinanipa hamu nzuri sanaa. ni kama machale yalimcheza akadai acha niagize ziletwe nkamwambia acha niende na kama unaona nakutoroka baki na simu yangu me niende na yako alooh uyu mpuuzi akajaa. nlipotoka tuu nje nkashika zangu bike mbele na simu yake nkasepa nayo.

SIMU YAKE ILIPIGWA SANA. then asubuhi nkaingia zangu kazini nkamkuta kavimba ka pulizo la faza krismas, then nkampa simu yake nkachukua yangu, mida ya saa 9 barua hiyo apo mezani nimesimamishwa kwa muda nkacheka sanaaa. na toka hapo ckuwahi kurudi ofisi ile.

nachoamini mpaka sasa ofisi ikijaa wanawake ni changamoto sanaa. Nashukuru kwa kuishinda dhambi ile na laana ile. NA WOTE TUSEME AMINA
TATEPA
 
Back
Top Bottom