yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
HahahahaAliniambia sina akili za shule wa za maisha....
Kwaiyo kwakwe nitarejea tu, hata kama tutaachana ipo siku nitamuomba msamaha...
Kwa kweli nilimuaibisha shetani wake, saizi yeye ndy kaparara na sina habari naye akiniona ananikimbia...
Godfrey Mungu siyo baba yako nyau weweeeeeeeee
Nipo tayali kabisa kabisa.Itabidi safari muanzie hapa hapa duniani lkn!upo tayari?ukiwa tayari niambie akupe siti fasta🤣
😂😂😂😂Siti umepata Ila nyuma ya dereva maana ya mbele nitakaa navigator mwenyeweNipo tayali kabisa kabisa.
Asante, kama ningeshikilia yale mahusiano mpaka saizi...😂😂 hongera sana mtu kama huyo hafai alikuona hauna ujanja wa kuishi bila yeye kumbe alikua anajidanganya. Mtu wa hvyo hata kama unampenda kwa kauli hizo bora ukubali maumivu tu ili aone yeye sio Mungu mtu.
Una bahati mbaya sana, wangu tunachambua pamoja na kushare code za mikeka.Aliniambia niache kubet
Ilishawahi kumpa pesa mpenzi wako na bila kumdai?me wala hata sio mbahiri rafiki yangu [emoji4]
nampa😊Ilishawahi kumpa pesa mpenzi wako na bila kumdai?
Vijora Mwanamke akivaa anaoneka mwanamke wa uswahilini na mpenda vigodoro.Raha ya kijora ni kwamba habar za joto joto kwishinei[emoji1787][emoji1787]barabaran ukiwa unatembea kinapepea chenyewe tu ndio maana napenda
Yes ungelikuwa na hali mbaya maana hayo ni manyanyaso ya wazi wazi kabisa.Asante, kama ningeshikilia yale mahusiano mpaka saizi...
Nahisi na mm ningekuwa nahudhuria therapy za afya ya akili maana ilikuwa ni vurugu mechi nguo kuchanika kila siku.
Na nilimkomesha kwa kuhama mpaka mkoa ili tu nikaanze upya huko niendakoooo
Bora nyuma ya dereva roho yangu nyepesi siwez kuvumilia kukaa seat ya mbele.😂😂😂😂Siti umepata Ila nyuma ya dereva maana ya mbele nitakaa navigator mwenyewe
Nilidhani unanisemea mimi aiseeKuna binti mmoja hivi niliwahi kumpenda sana,na sababu ya kumpenda ni kwamba mimi ndiye niliyemtoa usichana wake,
Nilimpa zawadi,nilimpigia simu kila saa, nilimpa pesa za matumizi, nilimnunulia nguo nzuli pindi tu nipatapo pesa,nilijitahidi
Yeye tayari single mother.
Dharau ni mbaya sana kwenye mapenzi..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatujar hata mtu akiwaza hivyo cha msingi na sekondari yetu yanaendaVijora Mwanamke akivaa anaoneka mwanamke wa uswahilini na mpenda vigodoro.
Wewe mtoto una maneno sana..." Eti unatia break ghafla"Maumivu yanakomaza nafsi!hapo hata ukutane na Delillah wa Samson unamzoom tu,ukiona kaanza drama wewe unatia breki ghafla yaani bado ana wenge unamwambia shuka chini🤣
Duh! Ulimfanya nini mpaka akutoe akili hivyo?Aliniambia sina akili za shule wa za maisha....
Kwaiyo kwakwe nitarejea tu, hata kama tutaachana ipo siku nitamuomba msamaha...
Kwa kweli nilimuaibisha shetani wake, saizi yeye ndy kaparara na sina habari naye akiniona ananikimbia...
Godfrey Mungu siyo baba yako nyau weweeeeeeeee
So true.Japo mimi sisukiiHatupendi kabisa hiyo kauli tunaihusisha na mwanamme asiyetaka kukuhudumia[emoji1787]
Wewe ulikatazwa nini tuanzie hapo kwanza?Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukulia je?
Kumbe kazi yako ni Costumer Care bhnaMimi aliniambia nisiwe nampigia Simu Usiku kuanzia saa mbili kuendelea [emoji23]
Hapo mkuu ulikuwa unatembea na Kajala!Alinikataza nisivae suruali za kitambaa au cardet na viatu vya kupiga kiwi. Nisiwe nanyoa level moja.
Alitamani niwe navaa t-shirt na jeanz na raba, kichwani niwe nanyoa pembeni naachia kidogo juu, au ikiwezekana niwe nazinyongorota virasta. Ndevu niziachie kama za kina Rick Ross, na niwe naenda gym kujaza body. Hivyo vingine nilishindwa ila alinifanya niwe napiga tizi na mpaka sasa nashukuru mazoezi yamekua sehemu ya maisha yangu. Ingawa mm na yule binti hatukuweza kufika mbali.
Nilichogundua, hawa masista duu wanawaadmire sana hawa mabishoo wanaojiweka namna hiyo (ingawa midomoni wanaonyesha kuwaponda). Kibaya zaidi wengi wao future hawana. Ndio maana wanaishia kua single mothers tu.
Yaani kunyoa unyoe kwa kumpenda kama wewe sio Kwa kushurutishwa,😁So true.Japo mimi sisukii