Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ulifanya vyema sana wapo wengi. Kuna wale wasiopenda uwahudumie hata wazazi wako. Mtu aogop kusema kati ya mimi na mama yako nani wa muhimu kumtumia hela 🙌🤣. Nilimwambia sina hata haja ya kumjibu, mpaka leo hii akinitafuta ananiomba msamaha.
Yaani kuna watu wa ajabu sana Upendo kwa wazazi wangu eti mtu aingilie kati we 😬
 
hahaha naogopa kumtag faizafoxy🤣🤣
JamiiForums-1144151357.jpg
 
Back
Top Bottom