Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Alinikataza nisivae suruali za kitambaa au cardet na viatu vya kupiga kiwi. Nisiwe nanyoa level moja.

Alitamani niwe navaa t-shirt na jeanz na raba, kichwani niwe nanyoa pembeni naachia kidogo juu, au ikiwezekana niwe nazinyongorota virasta. Ndevu niziachie kama za kina Rick Ross, Na niwe naenda gym kujaza body. Hivyo vingine nilishindwa ila alinifanya niwe napiga tizi na mpaka sasa nashukuru mazoezi yamekua sehemu ya maisha yangu. Ingawa mm na yule binti hatukuweza kufika mbali.

Nilichogundua, hawa masista duu wanawaadmire sana hawa mabishoo wanaojiweka namna hiyo (ingawa midomoni wanaonyesha kuwaponda). Kibaya zaidi wengi wao future hawana. Ndio maana wanaishia kua single mothers tu.
Ulikutana na sister duuh au kitoto cha 2000.
 
Alikuwa na wivu wa kijinga yaani siku ile nilimjibu mbovu na sikurudi kwake alidhani namtania.
Ulifanya vyema sana wapo wengi. Kuna wale wasiopenda uwahudumie hata wazazi wako. Mtu aogop kusema kati ya mimi na mama yako nani wa muhimu kumtumia hela 🙌🤣. Nilimwambia sina hata haja ya kumjibu, mpaka leo hii akinitafuta ananiomba msamaha.
 
Back
Top Bottom