Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅 nawewe ni member nini? Na ilikua rongoni kweli siku hiyo ilikua fujo tupu barabaraniHao watakuwa walikuwa wanatoka Rongoni😂😂😂😂Maana ndio chimbo lao watoto wambagala....halafu wapiga goma lao linaitwa" safari ya beach''
Shangazi ana kazi gani na mazivu yako?Hapa niligoma siji nitakosa shangazi humu ndani😀 unataka nitoe siri kuwa alinikataza nisiwe na mavuz niwe nanyoa😬😬😬😬
😅 mpeleke uturukiShemeji yenu nilimnjnulia dera likawa kama shati la shule😀 hana msambwanda
atakwambia Half american kwa nini😀Shangazi ana kazi gani na mazivu yako?
Nilikuwa nakaa chekechea,nazijua fujo zao wazee wa kuchora😅 nawewe ni member nini? Na ilikua rongoni kweli siku hiyo ilikua fujo tupu barabarani
Kwa hiyo wewe ni demu?Alinikataza kusuka...eti anapenda mademu wenye vipara
😂 sema nimekua mkaksi sana mtu unaweza sema sinaga hisia kumbe ni niliyoyapitia yamenifanya kuwa hviMaumivu yanakomaza nafsi!hapo hata ukutane na Delillah wa Samson unamzoom tu,ukiona kaanza drama wewe unatia breki ghafla yaani bado ana wenge unamwambia shuka chini🤣
Si mmesema Mloganzila wameanza?😅 mpeleke uturuki
Hata sijuiKwa hiyo wewe ni demu?
waturuk unawajua ? walichokifanya kibaa hapana wale wajinga wanamlipa demu mmoja majamaa kumi😀 wapumbav sana wamewaumiz sana wanawak wa kule😅 mpeleke uturuki
😂 ukijichanganya wanakuchanganya watoto wa mbagalaNilikuwa nakaa chekechea,nazijua fujo zao wazee wa kuchora
Si wanamlipa lakini sio burewaturuk unawajua ? walichokifanya kibaa hapana wale wajinga wanamlipa demu mmoja majamaa kumi😀 wapumbav sana wamewaumiz sana wanawak wa kule
Daaah pole sana.Kweli kabisa na akaniambia niache kunyoa kama school boy na sijaajiriwa 😂
Akanitumia na style ya kunyoa anayopenda cha kushangaza sina kichwa cha kunyoa style hiyo 😂😂😂
Hakika akufukuzae hakwambii toka.
Tulizaliwa watu wema tuu tumekuja kuharibika hapa duniani,walimwengu wametuharibu😂😂😂 sema nimekua mkaksi sana mtu unaweza sema sinaga hisia kumbe ni niliyoyapitia yamenifanya kuwa hvi
Ahsante hakunipenda maana sio kwa masharti hayoDaaah pole sana.
Huyo hakukupenda kwa dhati.
Ndio kazi yao ila upendo upo pale paleTulizaliwa watu wema tuu tumekuja kuharibika hapa duniani,walimwengu wametuharibu😂😂
Wamevurugwaa wale🤣😂 ukijichanganya wanakuchanganya watoto wa mbagala
😅😂 me mwenyewe sijuiatakwambia Half american kwa nini😀