Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Alinikataza kuvaa vijora [emoji849][emoji849][emoji849]weee nilimzoom tu
Sielewi watu wanavichukuliaje.. esp wasio wakazi wa Dar/ Pwani.

Kuna siku huku mkoani, ninacho cha chui chui 😁hiyo siku sikuwa kazini. Sasa ikafika mida flani ikanilazimu niende nikafate PC.
Nikaona kwakuwa naenda kwa muda mchache basi nikivae kijora kile..

Jamani nilisemwa/ walinishangaa
Wasiokuwepo walipata story, D kaja ofisini na kijora 🙌
 
Kijora ndio chenyewe hicho kuijishaulia kwenye viunga vya pwani ta Tanzania![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watoto wa uswazi utasikia Kuna ua jipya limetoka hapo safari Tandika
Famasihara [emoji1787][emoji1787] harafu umwambie eti hutaki avae vijora weee bora umwache na vijora vyake
 
Sielewi watu wanavichukuliaje.. esp wasio wakazi wa Dar/ Pwani.

Kuna siku huku mkoani, ninacho cha chui chui 😁hiyo siku sikuwa kazini. Sasa ikafika mida flani ikanilazimu niende nikafate PC.
Nikaona kwakuwa naenda kwa muda mchache basi nikivae kijora kile..

Jamani nilisemwa/ walinishangaa
Wasiokuwepo walipata story, D kaja ofisini na kijora 🙌
Pole,mikoani wanaona kijora Kama ushangingi🤣🤣
Hicho kijora Cha chui sikipendi !!yaani siku hiyo nakata zangu kko nikakiona wacha Moyo upasuke nikasema yes bonge swaga,nikanunua fastaaa jamani wiki iliyofuata Dar nzima wamekivaa wale wavaa vijora wasiojipenda na kisigino kichafu wote wamevaa jamani 🙄🙄🙄🙄🙄,,nilikuwa Singida vijijijni juzi nimekikuta kimezidi nichosha
Nipo nakatia vitunguu nyumbani
 
Hivi ni kweli mkuu uliambiwa au unatania?! 😂😂😂
Nimechekaa aisee
Kweli kabisa na akaniambia niache kunyoa kama school boy na sijaajiriwa 😂
Akanitumia na style ya kunyoa anayopenda cha kushangaza sina kichwa cha kunyoa style hiyo 😂😂😂

Hakika akufukuzae hakwambii toka.
 
Wewe Ni Kama Mimi,nikihisi harufu ya dharau kwenye mahusiano Aisee yaani Moyo wangu unakufa ganzi ghafla tu yaani,kwa Sababu Mimi simdharau mtu why Mimi anidharau?piga chini
Chap kwa haraka mtu akishanidharau najua fika hapa upendo hamna tena
 
Eti walijifanya wana ushirika na bimkubwa wananikataza pombe.Naona wamechoka wametafuta vivuli wamepumzika .Kila wakinishauri ndio nazidisha mara mbili.Ntaacha nikitaka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom